Wakichapwa kidogo watarudia.Na wakichapwa kidogo watu hawataogopa kukaa karibu yao/magaidi.Acha kufanya Generalization wapo walioshangilia na wapo walioona tukio Hilo sio sawa tokea day one ,hata hivyo hayo yote hayatoi justification ya kuuwa watu wasio na hatia hovyo.