Kwanini viongozi wa Yanga wamekomalia suala la kuweka utani pembeni?

Apr 19, 2023
41
89
Wakuu Habari,

Tangu timu hizi mbili za Kariakoo kuvuka hatua ya nusu fainali, mengi sana yamejitokeza kwa baadhi ya mashabiki hadi viongozi wa serikali. Tunafahamu kweli faida ya kupeleka timu mbili robo fainali na wengi pia tunatamani ikiwezekana mmoja achukue kombe hili ambalo halijawahi kuletwa hapa nchini kwetu.

Jambo moja linalonifikirisha ni hili la baadhi ya viongozi wa Yanga kukomaa kutaka utani wa jadi uwekwe pembeni na timu zishirikiane. Hii hofu kwa viongozi hawa imetoka wapi?

Je, kuna jambo labda watu wa Simba wanalifahamu kwahiyo wanaogopa litapelekwa kwa upinzani?
 
Kwani wewe hujui kwamba timuzinapokuja kushindana kwa mkapa mashibiki wa yanga ama simba hushabikia timu pinzani? Je, ulishawahi kutathimini madhara yake?
 
Wakuu Habari,

Tangu timu hizi mbili za Kariakoo kuvuka hatua ya nusu fainali, mengi sana yamejitokeza kwa baadhi ya mashabiki hadi viongozi wa serikali. Tunafahamu kweli faida ya kupeleka timu mbili robo fainali na wengi pia tunatamani ikiwezekana mmoja achukue kombe hili ambalo halijawahi kuletwa hapa nchini kwetu.

Jambo moja linalonifikirisha ni hili la baadhi ya viongozi wa Yanga kukomaa kutaka utani wa jadi uwekwe pembeni na timu zishirikiane. Hii hofu kwa viongozi hawa imetoka wapi?

Je kuna jambo labda watu wa Simba wanalifahamu kwahiyo wanaogopa litapelekwa kwa upinzani?
Nusu fainali?
 
Wakuu Habari,

Tangu timu hizi mbili za Kariakoo kuvuka hatua ya nusu fainali, mengi sana yamejitokeza kwa baadhi ya mashabiki hadi viongozi wa serikali. Tunafahamu kweli faida ya kupeleka timu mbili robo fainali na wengi pia tunatamani ikiwezekana mmoja achukue kombe hili ambalo halijawahi kuletwa hapa nchini kwetu.

Jambo moja linalonifikirisha ni hili la baadhi ya viongozi wa Yanga kukomaa kutaka utani wa jadi uwekwe pembeni na timu zishirikiane. Hii hofu kwa viongozi hawa imetoka wapi?

Je, kuna jambo labda watu wa Simba wanalifahamu kwahiyo wanaogopa litapelekwa kwa upinzani?
Watu wa Simba wangefahamu kitu wangekubali kupigwa goli 5?
 
Wanaokomalia ni Simba kupitia Karia akamuomba Mama kuwa atoe tamko hawa watu wasifanyiane hujuma kimataifa na akamwambia kabisa kuwa Yanga ndio hatari sana kwenye hii michezo ya "asili" maana unawaona kabisa wanaingia uwanjani lakini huwaoni wakifanya hadharani na kizamani hiyo michezo kama Simba lakini ndio hatari sana. Karia kamjaza Mama kuwa timu zikifika mbali ni advantages kwake kisiasa kuelekea 2025.
 
Kamsikilize arafat vizuri alafu urudi hapa
 
Kama hivi?
Screenshot_20240317_130826_Instagram.jpg
 
Wakuu Habari,

Tangu timu hizi mbili za Kariakoo kuvuka hatua ya nusu fainali, mengi sana yamejitokeza kwa baadhi ya mashabiki hadi viongozi wa serikali. Tunafahamu kweli faida ya kupeleka timu mbili robo fainali na wengi pia tunatamani ikiwezekana mmoja achukue kombe hili ambalo halijawahi kuletwa hapa nchini kwetu.

Jambo moja linalonifikirisha ni hili la baadhi ya viongozi wa Yanga kukomaa kutaka utani wa jadi uwekwe pembeni na timu zishirikiane. Hii hofu kwa viongozi hawa imetoka wapi?

Je, kuna jambo labda watu wa Simba wanalifahamu kwahiyo wanaogopa litapelekwa kwa upinzani?
Ndio hapo Sasa nashangaa mpaka wazir anatutisha tusivae jezi za MAMELOD SUNDOWN 😂😂😂😊😊
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom