Viongozi wa CHADEMA wavamiwa hotelini na Green guard wa CCM-Igunga

Mkuu Nanyaro tunasubiri update kutoka huko igunga. Kuna muendelezo gani huko polisi?

Manake sitoshangaa kusikia kwamba polisi imewaachia hao wahalifu na hakuna kesi.
 
CCM NI KWELI MMEJIANDAA KUJA KUHUKUMIWA NA HISTORIA KUWA WAANZILISHI WA KIKUNDI CHA 'MUNGIKI' KUWACHOMEA NYUMBA MAYATIMA WA MWALIMU NYERERE, KUWAPIGA, KUWABAKA NA KUMWAGIA WA OVYO TINDIKALI??????

What size of a dog is this thing being refered to as Green Guards; wako kwa ajili ya nani, kwa maslahi gani na sasa Machaliii kitu gani kifuate juu ya wahuni hawa???????????? Nape ndio vijana wako uliokua ukiwatishia watu hawa sio????????

CCM imefika so low kisiasa kiasi hicho kiasi cha kuanza kufuga MMBWA WA UVAMIZI nchini. Lakini tukumbuke siku mfuga mbwa atakapokosa kulisha mbwa wake vizuri ili akabweke vizuri kwa sauti pinzani, ni hapo ndipo mmbwa huyu atakapogeuka kuwa MMBWA MWITU na kufikia mahala pa kuweza kung'ata kabisa hadi na huyo mfugaji wake wa hapo awali.

Ama kweli kufilisika kisias kubaya; hadi CCM inafikia mahali pa kuunda 'Jeshi la Mungiki' Singida!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

green gard km jina lao huongozwa na bangi...
mungu awazidishie nguvu muweze kuongoka maana tumeona wanaonyesha silaha zo live live na hakuna chombo cha dola kinasema lolote ....
 
kuwapeleka polisi ni kupoteza muda

Hapana Mkuu,walichofanya ni sahihi kabisa! itatosha kuutambulisha umma kwamba mtata siku zote ni nani, NI kipimo cha uweledi and non biase ya polisi ktk kushughulikia mambo/propaganda zinazoanzishwa na ccm. Na kama wameweza kuwakamata na angalau ushahidi/vielelezo kama madumu ya mafuta,lighters nk patakuwa patamu zaidi
 
CCM sasa kinalekea kufa, na kwa hali inavyoelekea igunga kimeshajua kuwa kimepoteza hilo jimbo, sasa wanatumia mbinu ya kuvuruga uchaguzi
 
Wale vijana wa ccm waliopata mafunzo haramu mkoani singida,wakiwa na VX mbili za Ccm wamevamia hotel walipo makamanda wa Chadema.Uvamizi uliokuwa na lengo la kuwajeruhi makamanda na pia kuchoma moto fuso mbili za matangazo(PA)
Jaribio hili ovu limeshindwa vibaya,kwani vijana wetu waliwakamata na kuwadhibiti kisha kuwapeleka polisi,kwa sasa tupo kituoni,ntaendelea kuwajuza

kama maandiko matakatifu yasemavyo: nao atawatia mikononi mwenu adui zenu, na kuwafanya mtakavyo kuwatenda. CCM wameishiwa hoja sasa wameanzisha vurugu, wanataka kutengeneza mazingira ya kuingiza kura za wizi.
 
Mungu awalinde wote,tunaipenda chadema na nchi na tutaendelea kupambana hadi tushinde msikate tamaa,endeleeni kutukomboa,
 
Wale vijana wa ccm waliopata mafunzo haramu mkoani singida,wakiwa na VX mbili za Ccm wamevamia hotel walipo makamanda wa Chadema.Uvamizi uliokuwa na lengo la kuwajeruhi makamanda na pia kuchoma moto fuso mbili za matangazo(PA)
Jaribio hili ovu limeshindwa vibaya,kwani vijana wetu waliwakamata na kuwadhibiti kisha kuwapeleka polisi,kwa sasa tupo kituoni,ntaendelea kuwajuza

Hicho kikundi kunasiku kitakujaa kuwageuka ccm wenyewe wakawaulize us osama alivowasumbuwa ccm niwataalam wakutumia na kutelekeza uwezo wakukiendeleza hicho kikundi ni mdogo tutasikia mengi
 
kwayu hatuna haja ya kuwapiga maana sisi hatupigani bali jukwaa ndo ugonvi wetu so sisi ni prof ndo maana hata tumewakamata kama kuku
 
mimi naona mng'ewatia magunzi kwenye matundu ya masaburi yao..

Taratibu mkuu hao vijana wametumwa tu na akina mukama sababu ya njaa zao. Hiyo adhabu unayopendekeza ni kali mno kwao na kwa utamaduni wetu.

Utaona sasa wananchi wanazidi kuelewa vizuri mbinu chafu za magamba na hata hao vijana usishangae wanageuka na kuiunga mkono chadema.
 
network ya igunga ni mbaya ama vipi, mbona kimya! kama vipi tupe apdeti fasta.
 
Mungu AWALAANI, Hao waliowatuma, nao waokote makopo ya plastiki, wazikwe sanda kiroba, watoto wao wawe mateja, wakivuka barabara gari wasiione iwabonde! watoto wao nao wakalie mawe darasani kama wakwetu! Wote wenye mwili waseme, AMINA.
 
Wale vijana wa ccm waliopata mafunzo haramu mkoani singida,wakiwa na VX mbili za Ccm wamevamia hotel walipo makamanda wa Chadema.Uvamizi uliokuwa na lengo la kuwajeruhi makamanda na pia kuchoma moto fuso mbili za matangazo(PA)
Jaribio hili ovu limeshindwa vibaya,kwani vijana wetu waliwakamata na kuwadhibiti kisha kuwapeleka polisi,kwa sasa tupo kituoni,ntaendelea kuwajuza

safi sana mngewavua hijab kabisa
 
mungu awalaani, hao waliowatuma, nao waokote makopo ya plastiki, wazikwe sanda kiroba, watoto wao wawe mateja, wakivuka barabara gari wasiione iwabonde! Watoto wao nao wakalie mawe darasani kama wakwetu! Wote wenye mwili waseme, amina.

amina.
 
CCM ndo bye bye hiyo Km Zambia vilem tunawang'oa kilainiii chama gani kina watue wezi namna hii
 
Back
Top Bottom