Amina!Mungu AWALAANI, Hao waliowatuma, nao waokote makopo ya plastiki, wazikwe sanda kiroba, watoto wao wawe mateja, wakivuka barabara gari wasiione iwabonde! watoto wao nao wakalie mawe darasani kama wakwetu! Wote wenye mwili waseme, AMINA.
Tunashukuru kwa taarifa mh DIwani,kwa nn msingehakikisha mnamtoa mmoja damu kwanza kabla ya kuwapeleka polisi?
CDM na CCM wote ni wahuni hatapaswi kupewa kura, nasikia CCM wamewateka CDM hivi hawakuwahi kuliwa tigo? embu mtujuze mlioko huko.
Huu utandawazi unatupeleka pabaya! Mashoga mmepata nguvu na sasa mnajitokeza hadharani. Tumewaona juzi mkitaka "kuingizwa" kisheria. Wasalimie kwa macheni!
Wale vijana wa ccm waliopata mafunzo haramu mkoani singida,wakiwa na VX mbili za Ccm wamevamia hotel walipo makamanda wa Chadema.Uvamizi uliokuwa na lengo la kuwajeruhi makamanda na pia kuchoma moto fuso mbili za matangazo(PA)
Jaribio hili ovu limeshindwa vibaya,kwani vijana wetu waliwakamata na kuwadhibiti kisha kuwapeleka polisi,kwa sasa tupo kituoni,ntaendelea kuwajuza
Taratibu mkuu hao vijana wametumwa tu na akina mukama sababu ya njaa zao. Hiyo adhabu unayopendekeza ni kali mno kwao na kwa utamaduni wetu.
Utaona sasa wananchi wanazidi kuelewa vizuri mbinu chafu za magamba na hata hao vijana usishangae wanageuka na kuiunga mkono chadema.
CCM ndio wataleta machafuko na si Upinzani! sipo kwajili ya kubishana kama unabisha bisha tu