Viongozi nane wa CHADEMA waachiwa huru

Kuna vitu vinachekesha sana. Hivi “terrorists” mnawajua nyie? The day Al Shabab wakitia team na kutoa demo moja tu nadhani ndio tutaelewa.
Tanzania huwa hatusubiri demo, huwa tumpiga Gaidi kabla hajaleta madhara, kama alivyo kuwa anapanga Mbowe na genge lake la kihuni.
Jaribu uone moto wake.....usichezee Tz labda uende......
 
Sasa hivi wamekuwa na adabu!

Mama akisema hiki sitaki watakuwa wanaitikia tu ndio mama!

Sasa wako huru kwenda kunywa juice ikulu
 
Aisee buza ndio mwanza?
 
Sukuma Gang wamefanikiwa kumharibia Mama Samia, hili doa halifutiki kamwe,hapo walipo wanagongesheana glass
 
We ni lijinga sana huna akili ndio shida ya nyie mijitu,hata common sense hakuna vichwa vyenu kama paipai you can't think criticaly
 
Daah kwann hawa magaidi wameachiwa.?
Au tayari wameshabanwa na plaiz wamesema yote waliyopanga kufanya.?
Gaidi mkuu ataachiwa atakapotamka maji mma

Nikupe ushauri usiwe mshamba wa mitandao… hivi vitu siku moja vitakugharimu
 
CHADEMA wameripoti kuachiwa huru kwa viongozi nane wa CHADEMA waliokuwa wakishikiliwa na Polisi Mwanza

Viongozi hao ni John Heche, Zakaria Obard, Stephen Odipo, Daud Zephania, Seti Benda, David Nyakimwe, Frank Novarth na Mbutosyo Mwakihaba

Hata hivyo wametaarifu kuwa John Heche yuko Hospitali Mwanza
 
Imebuma

Sirikali buana mlifikiri mmejifunika blanketi

Vyombo vya nje vimereport mwanzo mwisho

Majasusi halisi wamo nchini kutoka nchi za wenyewe nyie mpo hapo nyenyenye

CNN asanteni sana
FreeMbowe ivyo tu
 
Daah kwann hawa magaidi wameachiwa.?
Au tayari wameshabanwa na plaiz wamesema yote waliyopanga kufanya.?
Gaidi mkuu ataachiwa atakapotamka maji mma
Kijana usiwe na roho mbaya kiasi hicho.Ukweli ni kwamba hizo ni kesi za kisiasa tu hazina maana yoyote Ile.
 
Hizi ni laana kwenye nchi,Kuumiza watu ambao sio wahalifu ni unyama mkubwa Sana.Cheki Sasa ivi nchi Ina tatizo la Uchumi badala ya viongozi kuja na mikakati ya kuongeza uzalishaji ili tuinue uchumi wetu wao wanahangaika na siasa za kijinga .Kwa Hili basi hatutafika popote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…