Tanzania huwa hatusubiri demo, huwa tumpiga Gaidi kabla hajaleta madhara, kama alivyo kuwa anapanga Mbowe na genge lake la kihuni.Kuna vitu vinachekesha sana. Hivi “terrorists” mnawajua nyie? The day Al Shabab wakitia team na kutoa demo moja tu nadhani ndio tutaelewa.
Jaribu uone moto wake.....usichezee Tz labda uende......