Viongozi 32 wa ngazi ya juu wa CDM warudisha kadi zao za uanachama!

Wakuu JF sio sehemu ya porojo kama mtu huna data au facts zozote usimwage pumba humu JF...

Hizi ni pumba kwa kuwa zimemwagwa na Pro-chadema watu wanashindwa kuhoji..

Chadema Mwanza, wameshinda Wilaya tatu Ukerewe, Ilemela, Nyamagana.

Sasa hii Wilaya ya Nyanza Mbunge wake ni nani?

Kama Nyanza ni Tafara hbr ndiyo hiyo na ujue source nimetanguliza ya kwmb ni Radio Free Africa.(RFA)
Sijaenda tofauti na chombo cha hbr tajwa hapo juu!

Maneno mingi utafikiri umempote za umjuae!
 
Ni kitu gani hicho kwenye rangi? Na acha jazba.
 
hayo maigizo hayauzi siku hizi,.............yangekuwa yanauyaza chama kisingekuwa na haja ya kubaka mchakato wa katiba
 
ndg kama hujui hii ni njia ya kumsafisha ngeleja kuhusu shutuma ukusanyaji wa fedha na katibu mkuu wake jairo lakini wtz tumeshastukia mpango mzia
 
Viongozi tajwa hapo juu wa CDM Mkoani Mwanza wilaya ya Nyanza wameripotiwa kurudisha kadi zao ya uanachama.

Wamerudisha kadi zao baada ya chichiem kufanya mkutano wa hadhara ktk wilaya ya Nyanza na ndipo mafisadi wakawarubuni wanaCDM hao na kurudisha kadi ya chama na kupewa ya chichiem.
Mgeni rasmi ktk mkutano hiyo ni waziri wa nishati na madini William Ngeleja.
Nini itatokea hapo? Kama siyo wamegawiwa kodi zetu na huyu fisadi wa mafisadi?

Source:RFA!

Viongozi 32 wa ngazi za JUU wa Wilaya ya NYANZA. Daaaaah! Hawa CDM mbona wana Viongozi wengi hivyo wa NGAZI ZA JUU huko Wilaya ya Nyanza? Halafu hiyo Wilaya iko Mwanza au Kenya???
 
juzi Ngeleja AMEFUNGA OFISI ya Chadema wilaya ya sengerema, leo mwanza mjini,tena kwa idadi kubwa ya wanachama,bila kutafuna maneno nasema mwisho wa chadema umekaribia.2015 haifiki.
 
lazima warudi kundini kwani wamegundua kuwa walidanganywa na kanisa,aaaaaahh, samahani,na chagas,,aaahh aaahh na chadema.
 
Kuhonga watu ni kawaida yake.jimboni kwake alipita bila kupingwa.sasa anaendeleza utamaduni wake.Mwanza alitaka kununua nyumba ya urithi ya watu, wenye nyumba walipokataa akahonga mahakimu na kupora nyumba ya watu.wenyewe walipochachamaa nyumba ikarudishwa kwa amri ya mahakama kuu.Acha ahonge pesa zimezidi,juzi amekuja mwanza kukagua kwa siri hotel yake ya nyota tano ambayo ni tishio mwanza nzima ambayo inasimamiwa na diwani anayetoka nae kijiji kimoja.Huyu ndie waziri aliesambaratisha uongozi wa Cdm.kiongozi anayethubutu kutaka kudhuluma mali ya raia tena yatima kisa tu ana pesa.na pesa yenyewe wamepora kwetu wananchi.Hakika wamethubutu wameweza na sasa wanasonga mbele
 
Viongozi 32 wa ngazi za JUU wa Wilaya ya NYANZA. Daaaaah! Hawa CDM mbona wana Viongozi wengi hivyo wa NGAZI ZA JUU huko Wilaya ya Nyanza? Halafu hiyo Wilaya iko Mwanza au Kenya???

wewe bana usitake kupotosha taarifa.ishu ni kwamba wananchi wenye akili timamu huko mwanza wameuona ukweli wamerudi kundini.wewe endelea kutapa tapa apo.
 
Kuhonga watu ni kawaida yake.jimboni kwake alipita bila kupingwa.sasa anaendeleza utamaduni wake.Mwanza alitaka kununua nyumba ya urithi ya watu, wenye nyumba walipokataa akahonga mahakimu na kupora nyumba ya watu.wenyewe walipochachamaa nyumba ikarudishwa kwa amri ya mahakama kuu.Acha ahonge pesa zimezidi,juzi amekuja mwanza kukagua kwa siri hotel yake ya nyota tano ambayo ni tishio mwanza nzima ambayo inasimamiwa na diwani anayetoka nae kijiji kimoja.Huyu ndie waziri aliesambaratisha uongozi wa Cdm.kiongozi anayethubutu kutaka kudhuluma mali ya raia tena yatima kisa tu ana pesa.na pesa yenyewe wamepora kwetu wananchi.Hakika wamethubutu wameweza na sasa wanasonga mbele
 
kweli kuna watu vilaza..yaani huyu ngeleja hata umeme wenyewe kashindwa kuuleta .atakuambia nini hadi uhame? Kuna fungu hapa watu wameachiwa. Kwanza anatakiwa a resign huyu ti.
 
Viongozi tajwa hapo juu wa CDM Mkoani Mwanza wilaya ya Nyanza wameripotiwa kurudisha kadi zao ya uanachama.

Wamerudisha kadi zao baada ya chichiem kufanya mkutano wa hadhara ktk wilaya ya Nyanza na ndipo mafisadi wakawarubuni wanaCDM hao na kurudisha kadi ya chama na kupewa ya chichiem.
Mgeni rasmi ktk mkutano hiyo ni waziri wa nishati na madini William Ngeleja.
Nini itatokea hapo? Kama siyo wamegawiwa kodi zetu na huyu fisadi wa mafisadi?

Source:RFA!

Mkuu hao viongozi 39 wa CHADEMA tena kwenye wilaya ya kusadikika inatia mashaka sana, maana sidhani kama hata makao makuu ya CHADEMA wanafikia idadi hiyo ya viongozi! There is nothing real in this thread to tell great thinkers here! Nakushauri hii thread uipotezee, inaonyesha umeiweka ukiwa huna clear information! Infact hakuna wilaya inayoitwa Nyanza Tanzania ila Kenya ipo na kama Nyanza ni kata au tarafa huko Sengerema ambako ni jimboni kwa Ngereja basi ni ndogo mno na haina umaarufu na haina wingi wa watu wa kufikia kuwa na viongozi 32 wa chama makini kama CHADEMA!
 
Mkubwa! Twende polepole.
Lakini hbr ndiyo hiyo ya kwmb fisadi ngeleja leo kafanya mkutano wa hadhara hapo kwenye kitongoji cha Nyaza.
Na bila shaka kama sijasomeka naomba tu uiedit na isomeke vema.

Lakini nina hofu sana ya kwamba wale jamii wa mafisadi ama wale watumwa wao ndio hawatanielewa ktk thread ilivyo.
Pole mkubwa kama haujanisoma ila hbr ndiyo.

Weka picha zao tuzione, isije kuwa ni vikongwe waliomba ugalia wakapewa masharti ya kuvishwa magamba
 
Mkuu hao viongozi 39 wa CHADEMA tena kwenye wilaya ya kusadikika inatia mashaka sana, maana sidhani kama hata makao makuu ya CHADEMA wanafikia idadi hiyo ya viongozi! There is nothing real in this thread to tell great thinkers here! Nakushauri hii thread uipotezee, inaonyesha umeiweka ukiwa huna clear information! Infact hakuna wilaya inayoitwa Nyanza Tanzania ila Kenya ipo na kama Nyanza ni kata au tarafa huko Sengerema ambako ni jimboni kwa Ngereja basi ni ndogo mno na haina umaarufu na haina wingi wa watu wa kufikia kuwa na viongozi 32 wa chama makini kama CHADEMA!

Mkubwa! Kuna kitu ambacho mtu anauliza baada ya jambo fulani kusikika.
Umepata kusikia ki2 ambacho ni dhahiri ni kweli, baada ya kusikia ni lazima utauliza chanzo cha hbr hii ni wapi? Ndipo unapata kusikia ni mimi mwenyewe kwa kuwepo eneo la tukio ama nimepata kusikia kwenye chombo fulani cha hbr,,,,,,,,,,,na N.K

Mkubwa nimewaambia ya kwamba SOURCE ya thread hii ni RFA.
Sana naona kama sisomeki.
Ila kitu ambayo nimegundua ni kwmb humu jamvini baadhi ya watu wanajifajilia tu!

Lakini hili si tija kwani wa kunielewa amenielewa wa kutonielewa Mi nafikiri ndio wale wale!
 
Weka picha zao tuzione, isije kuwa ni vikongwe waliomba ugalia wakapewa masharti ya kuvishwa magamba

Mkubwa! Mambo ya picha hakika sina,ila nina Imani kwa kuwa JF ndiyo yetu kuna atakeyeangusha tu.

Ila nina hofu ya kwamba ni hao vikongwe ndio walizidiwa na hali halisi na wakafanya hivyo.
 
Viongozi tajwa hapo juu wa CDM Mkoani Mwanza wilaya ya Nyanza wameripotiwa kurudisha kadi zao ya uanachama.

Wamerudisha kadi zao baada ya chichiem kufanya mkutano wa hadhara ktk wilaya ya Nyanza na ndipo mafisadi wakawarubuni wanaCDM hao na kurudisha kadi ya chama na kupewa ya chichiem.
Mgeni rasmi ktk mkutano hiyo ni waziri wa nishati na madini William Ngeleja.
Nini itatokea hapo? Kama siyo wamegawiwa kodi zetu na huyu fisadi wa mafisadi?

Source:RFA!

Ni mpango wa makampuni ya madini na wawekezaji wa makampuni ya kuzalisha umeme wa dharura kuidhoofisha CHADEMA maeneo yenye madini. Pia kumsaidia waziri huyu anayelinda masilahi yao kwani huko CCM wanamwona kama ameshindwa kuisimamia Wizara. Kitendo cha yeye kuchota wanachama CHADEMA kitamrudishia imani CCM. Ukirudisha kadi unapata kifuta machozi.
 
Viongozi tajwa hapo juu wa CDM Mkoani Mwanza wilaya ya Nyanza wameripotiwa kurudisha kadi zao ya uanachama.

Wamerudisha kadi zao baada ya chichiem kufanya mkutano wa hadhara ktk wilaya ya Nyanza na ndipo mafisadi wakawarubuni wanaCDM hao na kurudisha kadi ya chama na kupewa ya chichiem.
Mgeni rasmi ktk mkutano hiyo ni waziri wa nishati na madini William Ngeleja.
Nini itatokea hapo? Kama siyo wamegawiwa kodi zetu na huyu fisadi wa mafisadi?

Source:RFA!

Hongera Ngeleja kuvuna wanachama 32 viongozi wa juu wa CDM, wanatusumbua sana hawa madogo. Walikuwa wapi 1992 wakati siasa zinaanza Tanzania? CCM oyeeeeeeeeee!

Viongozi 32 wa juu CDM list ingejumuisha Mbowe, Arfi, Slaa, Zitto, Mnyika.........hizi porojo sijui zitaisha lini JF.
Hata naweza kesho kuitisha mkutano na kadi zangu 60 za CCM nikaita viongozi wa shina wa TLP, CUF, NCCR au CDM, nikawawapa pilau kisha nikawapiga picha kama alivyofanya Hamad wa CUF na kisha akatokea ***** akasema wanachama 60 wa upinzani wamehamia kwetu. Hongera Ngeleja, umeme sasa unawaka sana tu!
 
Liverpool,
Hii taarifa unayopitoa hapa ni imekwisha tokea Sengerema, tarafa au kata ya Nyanza na hao wanaozugmizwa ni idadi ya viongozi pamoja na wanachama.. Kwa hiyo kubali kusahihishwa haina noma kaka!... Tunajua habari hii sio ya uongo isipokuwa umekosea wilaya ilipotokea...
 
Duh! Chadema kwishney

Nani kakudanganya! Em fanya tathmin na utafit mdogo tu, unambie kati ya wanaokufa na wanaozaliwa kwa siku moja ni wapi wengi zaidi! 1dead man replaced by 3pairs of twins! Ccm asanten kwa kuchukua vichwa vbov hvo mana ndo zenu hzo! CDM ha2naga memberz wabov km hao! Loooh!. Finally 2015!
 
Back
Top Bottom