Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,189
- 128,283
afu kajisahau kwamba keshakua mama mtu mzima
hahahaaaaaccm wanakua kimwili tu, akili zimedumaa.
yaani kama wanafunzi wa UDSM watahudhuria basi ntawaona ni wajinga kuliko chochote kile
akiongea kwa kiswanglish cha ki-teenager, (si unajua namna huwa wanatamka L zao) violet mzindakaya ameweka wazi vitu wanakavyoviongea kesho Jangwani amesema watanzania kwa muda mrefu wamekua wakidanganywa kwamba wao ndio wana maisha magumu wakati dunia nzima hali ya uchumi ni ngumu, sasa wanataka kutumia nafasi ya mkutano wa kesho kuwaambia watanzania ukweli, wanataka watanzania watambue hali ya maisha ni ngumu si tu tanzania ila hata sehemu nyingine duniani tofauti na wanavyodanganywa na wapinzani hasa CHADEMA.
hapo mkuu umenifurahisha sana
Comrade si kila maombi Mungu huyasikliza Kwani Maombi ya wanafiki (CCM) nI sawa na kelele mbele zaMungu bali maombi ya wenye haki(.......) ni manukato mbele ya Mungu
VIOLET MZINDAKAYA ni nani na ana wadhifa gani katika nchi yetu?
akiongea kwa kiswanglish cha ki-teenager, (si unajua namna huwa wanatamka L zao) violet mzindakaya ameweka wazi vitu wanakavyoviongea kesho Jangwani amesema watanzania kwa muda mrefu wamekua wakidanganywa kwamba wao ndio wana maisha magumu wakati dunia nzima hali ya uchumi ni ngumu, sasa wanataka kutumia nafasi ya mkutano wa kesho kuwaambia watanzania ukweli, wanataka watanzania watambue hali ya maisha ni ngumu si tu tanzania ila hata sehemu nyingine duniani tofauti na wanavyodanganywa na wapinzani hasa CHADEMA.
hapo mkuu umenifurahisha sana
unajua huyu ni mama mtu mzima kama unamfahamu, kwa kumuangalia tu, ni mtu above 33, sasa anapoongea utafikiri wale wanaogombea u-miss kwenye vitongoji, ambao wengi huwa below 20, wakianza tu kujinadi utasikia 'kwanza najiamini' anakera sana
Mtu mwenye zaidi ya miaka 33 anategemewa awe amekua na anaongea vizuri kwa busara, hategemewi atumie lugha kama, wapinzani wasituletee usharo au twitter kuiita twila
Si kila sehemu duniani ina Gold, Tanzanite, Diamond, Nickel, Uranium, gas, oil, misitu, Mbuga za wanyama, bahari, maziwa, mito, Mt Kilimanjaro, arable land. Si kila sehmu duniani utakuta serikali yake inatumia 38% ya National budget kununulia magari ya kifahari kwa ajili ya wakubwa wachache! Si kila sehemu duniani utakuta serikali inafanya mazungumzo na wezi - grand thefts! Si kila mahali.
Baba akiwa Mwizi kwani wewe nawe unalazimishwa kuwa Mwizi?!! CCM sio damu damu yenu kuendekeza uongozi wa Kifalme
hawajui kuwa kuna mtu huwa anakosa hata buku mbili ya kung'oa jino hospitali inabidi akimbilie kanisani akaomewe
SHAME ON THEM
unajua huyu ni mama mtu mzima kama unamfahamu, kwa kumuangalia tu, ni mtu above 33, sasa anapoongea utafikiri wale wanaogombea u-miss kwenye vitongoji, ambao wengi huwa below 20, wakianza tu kujinadi utasikia 'kwanza najiamini' anakera sana
Mtu mwenye zaidi ya miaka 33 anategemewa awe amekua na anaongea vizuri kwa busara, hategemewi atumie lugha kama, wapinzani wasituletee usharo au twitter kuiita twila
Hataki kukua eeee. Atajikuta anafikisha miaka 50 na kiswahili cha "ki-twila"
Mwenye haki ni yule ambae anatembea na mke wa mtu kinyume na mafundisho ya Mungu wa kitabu chochote kile?
Baba akiwa Mwizi kwani wewe nawe unalazimishwa kuwa Mwizi?!! CCM sio damu damu yenu kuendekeza uongozi wa Kifalme
..aache uongo!!
..sisi tuliokula chumvi tunajua uongo na visingizio vya CCM tangu zamani.
..kwanza walikuwa wanasingizia kuvunjika kwa jumuiya ya afrika mashariki.
..baadaye wakaja na visingizio vya vita vya Kagera.
..wakasema kuna wahujumu uchumi na walanguzi.
..baadaye wakadai hakuna fedha za kigeni.
..wakaja wakadai ni masharti magumu ya IMF na WB.
..kupanda kwa bei ya mafuta ktk soko la dunia.
..wakasema tunafunga mikanda kulipa madeni ya nje.
..halafu ukaja mtikisiko wa uchumi wa dunia.
..TANGU CCM IANZISHWE IMEKUWA NI VISINGIZIO TU. SASA TUMEAMUA KUWATOA MADARAKANI.
Si bora hao watu wazima wana maamuzi yao binafsi. Unajua braza mukulu anawaingiza watu wa rika gani pale Serena hotel? Siasa za maji taka hazitatufikisha popote ndugu. Tuongee vyenye manufaa!
hii nimeipenda, tukiwaonea aibu watakuja na sababu ingine. . . ooh tulikua tunavua magamba!