Vioja VYA BONGO BANA, Kaaazi kweli kweli

Vioja VYA BONGO BANA, Kaaazi kweli kweli

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
559911_384196751678908_1618648009_n.jpg



621679_323532621078655_575940436_o.jpg


250527_323532814411969_294966803_n.jpg



543422_323533454411905_1989138600_n.jpg



579677_323533571078560_1034749604_n.jpg
 
Chifu Mbuzi Mzee unamaanisha bongo Tanzania au bongo Afrika? Maana kama Tanzania hizo picha sidhani kama ni Tanzania. Nimeangalia plate numbers za hayo magari, hazifanani na za Tanzania!

Hapo yaweza kuwa DRC.
 
Last edited by a moderator:
Unakuta lorry umeichukua kwa mkopo na bima haujakata, uko nyumbani unasubiri dereva aingize siku mara anakuletea msiba kama huu.
 
Mungu hapendi wanavyoivuna hii nchi kama haina mwenyewe.lile kontena nahisi lilikuwa limebeba pembe za ndovu za yule ambaye wakisema .............unaitikia ....weka mbali na tembo
 
sidhani kama ni bongo tuna hizo mark nyekundu na nyeupe kwenye barabara zetu kweli?
 
Back
Top Bottom