Vinícius Jr awapiku Ronaldinho na Kaká

Vinícius Jr awapiku Ronaldinho na Kaká

Nimemwambia hawafiki round of 32.
Umeniambia ukiwa kama nani? Mchambuzi au mtabiri? Kama mchambuzi weka hapa uchambuzi wako ili ku support your claim, Kwahiyo wewe ukiniambia ni lazima mimi nikubaliane na wewe?

Halafu kumbe hiyo ni ID yako pia? Coz aliyesema hawafiki round 32 sio wewe,naona umejisahau ukachanganya ID zako zote mbili kujadili hapa.
 
Tatizo siku hizi dunia imeegemea kwenye takwimu kwenye mpira badala ya burudani. Mpira kwa sasa umeharibiwa sana na hizi takwimu pamoja na kamari. Kizazi cha kina De Lima, Ronaldinho, Zidane, Diego Forlan, Fernado Morientes na kina Hernan Crespo kilichokuwa kinatoa burudani kimepotea kabisa. Watu kwenye pitch ni kukimbia tu na mpira ili kufunga.. hata marefa walishawahi kusema wachezaji kwa sasa wanakimbia balaa.
 
Umeniambia ukiwa kama nani? Mchambuzi au mtabiri? Kama mchambuzi weka hapa uchambuzi wako ili ku support your claim, Kwahiyo wewe ukiniambia ni lazima mimi nikubaliane na wewe?
Nimesema tu kama wewe ulivyosema atakuwa bingwa mkuu.
Halafu kumbe hiyo ni ID yako pia? Coz aliyesema hawafiki round 32 sio wewe,naona umejisahau ukachanganya ID zako zote mbili kujadili hapa.
Naona umepaniki migo angalia post no #7.
 
Soka la zamani lilikuwa la burudani na ushindani mzuri. Timu za taifa kama Brazil, German, France, Italy, Greece, Portugal n.k zilikuwa na vipaji haswa.

Sasa hivi vipaji vinahesabika saana, average player kama Dembele eti ndiye mchezaji bora wa dunia!!!!!!
sana mkuu ,ukisikia football maker ni maker kwelikweli sikuhizi siwaoni kila nitazamapo mpira baada ya messi tutampata nan mana kabla yake ilikua akina Ronaldinho gaucho
 
sana mkuu ,ukisikia football maker ni maker kwelikweli sikuhizi siwaoni kila nitazamapo mpira baada ya messi tutampata nan mana kabla yake ilikua akina Ronaldinho gaucho
Enzi za akina Gaucho kulikuwa na akina De Lima, Kaka, Man U kulikuwa na watu, Chelsea, Arsenal, Liverpool, AC Milan, Juventus n.k ila sasa hivi timu zinahesabika ni Madrid na Man City na walau Bayern.

Mbali na hapo hakuna timu za maana zenye ushindani mkubwa kama zamani ambapo UEDA ni UEFA kweli.
 
Wewe ni hater wa Cape verde kwa mujibu wa comment zako huko juu,nyie ndio mmeshakua braiwashed na majina ya team,
Mpira unabadilika,
Nani alijua kua Cape Verde angedroo na Sapain 0-0? huoni kua haya matokeo yameishangaza Dunia nzima?

Unajua kua kushiriki tu kombe la Dunia tayari ni mafanikio kwa nchi husika?
Wapi nimekwambia kua Cape Verde hawajaenda kugombania kombe?

Unaonekana una akili nzito sana ya ufahamu hata kwenye vitu vidogo tu.

Mpumbavu kama wewe unisamehe nini mimi? Wewe aliyekwambia kua mimi nahitaji msamaha wako ni nani? Kwahiyo unataka JF watu wote wawe wanajadili jambo na kukubaliana wote jambo hilo? Hujui kua JF is an open forums? Unaishi Kijiji gani wewe?

Mbona unaleta maneno ya kishoga kwenye uzi wa sport? Kwa hiyo upumbavu wako wa kutabiri kua Cape Verde hafiki 32 bora ndio unajiona una akili sana sio? Hiyo kvant alininunulia mumeo?

Kwahiyo Cape Verde wasipovuka 32 bora itakua hawakuvuka kisa wewe ndio umesema? Kwani unajikuta nani hasa wewe?
Kwa hizi arguments zako hata k-vant nimeisingizia Tu. Wewe umelewa mbege subiri iishe kichwani ndio urudi hapa tujadili soccer.
 
Vinícius Jr ameendelea kuandika historia yake taratibu ndani ya kikosi cha Brazil baada ya kuweka rekodi mpya kwenye World Cup kufuatia ushindi wa Brazil dhidi ya Haiti June 19, 2026 (Friday)

Kupitia mechi hiyo, Vinícius sasa amefikisha mabao 4 kwenye World Cup na hivyo kumpita Ronaldinho ambaye alimaliza career yake ya World Cup akiwa na mabao 3.

Lakini si hilo pekee;
Nyota huyo wa Brazil sasa pia amefikisha goal contributions 9 kwenye World Cup:
Mabao 4
Assists 5
Hii inamaanisha kuwa tayari amempita Kaká ambaye alihusika kwenye mabao 8 pekee katika historia yake ya World Cup:
Mabao 5
Assists 3

Rekodi hizi zinaonyesha namna Vinícius anavyozidi kuwa sehemu muhimu ndani ya mfumo wa Brazil kwenye mashindano makubwa huku akiwa bado kijana mdogo.
Ronaldinho mabao 3 lakini muhimu sana bao 4 za vin bila kombe ni upuuzi tu
 
Enzi za akina Gaucho kulikuwa na akina De Lima, Kaka, Man U kulikuwa na watu, Chelsea, Arsenal, Liverpool, AC Milan, Juventus n.k ila sasa hivi timu zinahesabika ni Madrid na Man City na walau Bayern.

Mbali na hapo hakuna timu za maana zenye ushindani mkubwa kama zamani ambapo UEDA ni UEFA kweli.
Barcelona hawapo?
 
Kwa hizi arguments zako hata k-vant nimeisingizia Tu. Wewe umelewa mbege subiri iishe kichwani ndio urudi hapa tujadili soccer.
Wewe huwezi kujadili soccer,mpira huujui,umekariri majina ya team tu,
Mpira unabadilika,

FT

Uruguay-2
Cape verde-2
 
Hata mm nawaza swali kama lako, imekuwaje timu mbovu kama capo Verde kushiriki kombe la dunia? Hata hivyo safari Yao ipo ukingoni na itaanza kuhitimishwa na kichapo kutoka kwa Uruguay
Mchambuzi wa mpira kwa njia ya utabiri,vipi hao Uruguay wametembeza kichapo kwa Cape verde kama ulivyotabiri?
 
Nilijua tu
Bingwa wa utabiri kumbe na hili pia ulitabiri!

kuwa lazima unitag kwakuwa wewe na timu yako ushindi wenu mkubwa kwenye michuano hii ni draw
Sasa hivi umeanza kuhamisha magoli sio?

Umerukia kwenye droo tena na sio kubahatisha sio?

Wewe jamaa mpira huujui,ni bora ukae kimya tu kuliko kujiaibisha hapa.
 
Bingwa wa utabiri kumbe na hili pia ulitabiri!

Sasa hivi umeanza kuhamisha magoli sio?

Umerukia kwenye droo tena na sio kubahatisha sio?

Wewe jamaa mpira huujui,ni bora ukae kimya tu kuliko kujiaibisha hapa.
Sawa hongera Kwa kuwa wa kwanza kuingia kwenye hatua ya mtoano kwenye kundi lenu. Hakika hili kombe mtabeba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom