Vinícius Jr awapiku Ronaldinho na Kaká

Vinícius Jr awapiku Ronaldinho na Kaká

WApi nimesema kua;

"nawaza imekuaje timu mbovu kama cape verde kushiriki kombe la Dunia?"

Unaiita timu mbovu kwa matokea gani?

Hata mechi yao na Spain wapo waliosema Cape verde watafungwa nyingi,

Kusema watafungwa na Uruguay huo ni utabiri tu,ni sawa na wale wanaobeti,hiyo ni wishful result.
Anyway muda utaamua. ila usije ukakimbia post zako badaae
 
Mpira wa zamani ni mastreika tu ndio walikua wana jukumu la kufunga. Wanaocheza namba zingine kufunga ilikua ziada tu. Kwahiyo tunakosea kuwafananisha na wachezaji wa sasa kwa kigezo cha namba. Kusema Vini kampiku Gaucho ni matusi
Kwa hiyo nimemtukana Gaucho?🤣
 
Mbona umeanza kuwacha mdogo mdogo ulianza kuwapa ubingwa hapa🤣
Tumsamehe huyu huenda wakati anachangia kwenye huu Uzi alikuwa na k-vant kichwani ila zikimuisha atakiri Tu mwenyewe kwamba hamna timu pale ya kubeba ubingwa labda wabebe ubingwa wa kuwa na wanawake warembo ila siyo kombe la dunia...
 
Hoja gani uliyoiweka hapa zaidi ya utabiri wa kusema Cape Verde hawawezi kufika 32 bora?

Au hujui maana ya neno hoja?
Umesema hata wasipofika hatua ya 32 Bora tayari wametengeneza historia ya kucheza kombe la dunia ndio nikauliza inamaana cape Verde wao wanashiriki Kwa lengo la kuweka historia na sio kupambania kombe kama nchi zingine?

Nilitegemea utanipa majibu ya Hilo swali badala yake umepanic
 
Wewe ni hater wa Cape verde kwa mujibu wa comment zako huko juu,nyie ndio mmeshakua braiwashed na majina ya team,
Mpira unabadilika,
Nani alijua kua Cape Verde angedroo na Sapain 0-0? huoni kua haya matokeo yameishangaza Dunia nzima?

Unajua kua kushiriki tu kombe la Dunia tayari ni mafanikio kwa nchi husika?
Wapi nimekwambia kua Cape Verde hawajaenda kugombania kombe?

Unaonekana una akili nzito sana ya ufahamu hata kwenye vitu vidogo tu.
 
Tumsamehe huyu huenda wakati anachangia kwenye huu Uzi alikuwa na k-vant kichwani ila zikimuisha atakiri Tu mwenyewe kwamba hamna timu pale ya kubeba ubingwa labda wabebe ubingwa wa kuwa na wanawake warembo ila siyo kombe la dunia...
Nimemwambia hawafiki round of 32.
 
Tumsamehe huyu huenda wakati anachangia kwenye huu Uzi alikuwa na k-vant kichwani ila zikimuisha atakiri Tu mwenyewe kwamba hamna timu pale ya kubeba ubingwa labda wabebe ubingwa wa kuwa na wanawake warembo ila siyo kombe la dunia...
Mpumbavu kama wewe unisamehe nini mimi? Wewe aliyekwambia kua mimi nahitaji msamaha wako ni nani? Kwahiyo unataka JF watu wote wawe wanajadili jambo na kukubaliana wote jambo hilo? Hujui kua JF is an open forums? Unaishi Kijiji gani wewe?

Mbona unaleta maneno ya kishoga kwenye uzi wa sport? Kwa hiyo upumbavu wako wa kutabiri kua Cape Verde hafiki 32 bora ndio unajiona una akili sana sio? Hiyo kvant alininunulia mumeo?

Kwahiyo Cape Verde wasipovuka 32 bora itakua hawakuvuka kisa wewe ndio umesema? Kwani unajikuta nani hasa wewe?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom