Vinícius Jr awapiku Ronaldinho na Kaká

Vinícius Jr awapiku Ronaldinho na Kaká

Tatizo siku hizi dunia imeegemea kwenye takwimu kwenye mpira badala ya burudani. Mpira kwa sasa umeharibiwa sana na hizi takwimu pamoja na kamari. Kizazi cha kina De Lima, Ronaldinho, Zidane, Diego Forlan, Fernado Morientes na kina Hernan Crespo kilichokuwa kinatoa burudani kimepotea kabisa. Watu kwenye pitch ni kukimbia tu na mpira ili kufunga.. hata marefa walishawahi kusema wachezaji kwa sasa wanakimbia balaa.
Kwa hiyo mkuu wewe unataka wachezaji wasifunge hovyo ila unataka burudani tu?
 
Tatizo siku hizi dunia imeegemea kwenye takwimu kwenye mpira badala ya burudani. Mpira kwa sasa umeharibiwa sana na hizi takwimu pamoja na kamari. Kizazi cha kina De Lima, Ronaldinho, Zidane, Diego Forlan, Fernado Morientes na kina Hernan Crespo kilichokuwa kinatoa burudani kimepotea kabisa. Watu kwenye pitch ni kukimbia tu na mpira ili kufunga.. hata marefa walishawahi kusema wachezaji kwa sasa wanakimbia balaa.
Mpira wa kitabuni ndio upo ndio maana Brazil imepotea kwenye ramani ya world Cup.

Scars
 
Vinícius JR aendelea kung'aa World Cup ambapo sasa amefikisha mabao 3 kwa tournament hii huku akiwa na jumla ya mabao 5 World Cup.

Pia Vini,ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza wa Brazil kufunga goli katika kila mechi ya hatua ya makundi ya Kombe la Dunia tangu mwaka 2002.Mara ya mwisho alikuwa ni Rivaldo na tangu hapo hata Neymar hajawahi kufanya hivyo mpaka mwamba Vini amefanya hivyo.
 
Bruno Guimarães amekuwa Mbrazil wa kwanza kutoa assists mbili kwenye mechi moja ya World Cup tangu Kaká dhidi ya Ivory Coast mwaka 2010.
 
Huenda Morocco akatwaa kombe. Cape Verde labda itaf8ka knock out stage. Ila nimehuzunika sana South Africa kusonga angalau Senegal ingesonga hawa wapuuz Sauz warudi nyumbani.

adriz de mbusii
Upo serious kabisa unasema Morocco atachukua World Cup?
 
Bruno Guimarães amekuwa Mbrazil wa kwanza kutoa assists mbili kwenye mechi moja ya World Cup tangu Kaká dhidi ya Ivory Coast mwaka 2010.
Hawa wachezaji wamekosa hat trik na hawataweza kupata tena, Vin Jr, Harry Kane, Mpappe, Haarland na Ronaldo.

Messi atapata hatrik nyingine jumapili asubuhi watakapocheza na kibonde Jordan.

adriz de mbusii
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom