Harmful
JF-Expert Member
- Feb 23, 2025
- 5,466
- 18,940
Mwanetu ZILLIONAIRE sijui kama hajachukuliwa demu na cristiano Ronaldo maana Ana hasira nae kinoma 😂Hujamuelewa,hapo amemaanisha Ronaldo de lima wa Brazil,
Na hiyo number 9 sio idadi ya magoli bali ni namba yake ya Jezi kwenye team ya taifa.