KOKUTONA
JF-Expert Member
- Jan 29, 2011
- 8,651
- 6,110
Mhhhh haya.
huo mji sijawahi fikiria kufika huwa napita tu,anyway one day ntakuja kutembea.
Haya dadii..
Kitimoto
Nimemmiss mtu hebu niletee
Inawezekana nimekumiss wewe ila sema naogopa kuzusha ugomvi maana watu wa humu naona wameniandama sana na roho zao mbaya kisa napendwa lolNaani tena? Au umenimis mimi..!
Inawezekana nimekumiss wewe ila sema naogopa kuzusha ugomvi maana watu wa humu naona wameniandama sana na roho zao mbaya kisa napendwa lol
Copy kwa The secretary na Bishanga
Sema tu kweli,kama wanaumia waumie,si wajua ukweli waumaa!! Hahahahah
Lol uko tayari kuishi Arusha?
Lol uko tayari kuishi Arusha?
Kitu changu.................