HASSAN SHEN
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 428
- 69
Hicho ndio king'amuzi cha kununua!
...king'amuzi sawa,je kitakuwa cha mlengo upi?...
Miaka 50 ya Muungano kuna Mtanganyika yoyote aliyevuna MALI ZNZ na Pemba kama BAHRESA alivyovuna Bara?
mlengo wa kiliberali
Wewe kweli ni kilaza unajua Azam wameajiri watu wangapi? wacha ushabiki
Unasema ni Mkombozi, kwa taarifa yako huyu ni bepari amekuja kukumaliza. Kama anatengeneza CHAPATI na sasa hivi akina mama majumbani wamekosa soko kwa sababu ya bidhaa zao kuingiliwa na AZAM kwa AZAM CHAPATI, AZAM TUI LA NAZI huyu anakusaidie wewe Mtanzania au anakuua???
Vitu vingine serikali imemwachia mno familia masikini zimezidi kudidimia kwa sababu yake. Kila kitu anataka yeye, jamani kuwe na breki wengine watafanya nini sasa??? UCHOYO HUO!!!
Ma pro Cdm mna mambomlengo wa kiliberali
Tunamkaribisha sana na tunamhitaji sana.