Ving'amuzi vya Azam kuanza kusambaa karibuni...

092013
[h=3][/h]

954735_403515103099847_348841708_n.jpg
‎
KAMPUNI YA SSB KUPITIA AZAM WANATARAJIA KULETA KING'AMUZI KIPYA NA CHA BEI POA AMBACHO KITAUZWA TSHS 30,000 NA MALIPO YAKE KWA MWEZI NI TSHS 2000. Kwasasa nasikia kipo kwenye majaribio kwa baadhi

USHAURI wangu kwa vile anatumia dish arushe Na HD.

Wengi tutaachana Na DSTV Na hizi channel za wababaishaji
 
Kaeni mkisubiri.. Akili zenu haziwazi mbali eti elfu 30 ana kiwanda cha kutengeneza!
 
KIKUBWA ALETE CH ZA MUVI ZA MAANA LIGI ZA ULAYA NA DOCUMENTARY cartoon kwa ajili ya watoto Chanel 4 zadin ya islamic na 4 za dini ya kristo Atateka xoko
 
xoko ndo nini mkuu?acha uzezeta kwani kuweka "S" hapo ulipoweka "X" Ungekufa?
 
USHAURI wangu kwa vile anatumia dish arushe Na HD.

Wengi tutaachana Na DSTV Na hizi channel za wababaishaji

Mimi nitakuwa wa kwanza kuachana na DSTV wametunyonya vya kutosha,kuna wengine wanarusha ligi zote ni ya Kutoka Dubai ada ya kujisajili mpaka wanamaliza kukufungia ni sh.500,000 baada ya hapo unalipa dola 120 kwa mwaka mzima tofauti na DSTV ambao wanakamua sh.120,000 kila mwezi.ukienda city centre,Arusha,Klimanjaro hakuna anayeijua DSTV zaidi ya hiyo channel ligi zote Duniani unaziona,hawa jamaa wapo kariakoo karibu na opp.na kariakoo sokoni wanauza mbaya tuwaunge mkono tuachane na DSTV ambao hata local chanel ambazo zinatakiwa zionekane free wamegomea hata serikali kuzionyesha.Chonde chonde AZAM tuwekee tuweze kuangalia chanel zote za michezo tumkimbie DSTV
 
Hiyo kampuni inaitwaje mkuu,na channel ngapi zinapatikana kwenye kisimbusi chao?tks
 
Atajaza chaneli za dini yake na labda za michezo

Usitarajie Emmanuel tv and the like

Nkt!

Mkuu udini umekutawala tu mbona Agape zipo na hata kama alitaka kuanzisha ni yake hata wewe una hujanyimwa fursa. Utampangia aweke stations gani?
 
Kuna habari kuwa bakhresa atakuja na king'amuzi chake ambacho kitauzwa Tshs.30000 na utalipia Tshs. 2000 kwa mwezi.

Kna channel 100+

kama itakuwa hivyo atawakomboa watanzania wa kipato cha chini mana mabepari hawatujali wanazima mitambo ya analogia huku ving'amuzi vikiuzwa ghali na vingine chanel zinazingua alete ataungwa mkono
 
ila watu mna kazi.
Karibuni kwny dish,channel kibao halafu ni free...dunia yako chaguo ni lako
 
Back
Top Bottom