Ving'amuzi vya Azam kuanza kusambaa karibuni...

Safi kabisa. Hongera sana Bakhresa, kuna watu wanyonyaji sana nchi hii. Mmoja wapo Multichoice.
Ingia sokoni tutakuunga mkono hadi mafisadi wakimbie
 
Bila shaka zile channel za wenzetu wale wa kupenda ubwabwa ndo zitakua kibao kwenye hicho king,muzi.
 
me nasubibia kampuni ya mwisho ndo ntanunua naona tunayumbishwa tu mpaka sasa.
 
Safi kabisa.
kwa vile atatumia dish aje Na HD moja kwa moja atampiku DSTV kwa mbali
 
Bado ni uvumi wenye kujenga taswira ya matumaini, ajitokeze msemaji wa kampuni aweke sawa hili isije kuwa ni aina ya kupima upepo.
 
Mkuu umeongea ponti sana. Ni ukweli mtupu.

Unasema ni Mkombozi, kwa taarifa yako huyu ni bepari amekuja kukumaliza. Kama anatengeneza CHAPATI na sasa hivi akina mama majumbani wamekosa soko kwa sababu ya bidhaa zao kuingiliwa na AZAM kwa AZAM CHAPATI, AZAM TUI LA NAZI huyu anakusaidie wewe Mtanzania au anakuua???

Vitu vingine serikali imemwachia mno familia masikini zimezidi kudidimia kwa sababu yake. Kila kitu anataka yeye, jamani kuwe na breki wengine watafanya nini sasa??? UCHOYO HUO!!!
 
Kila kitu afanye yeye! Kwa nini... Kwanza Matajiri sampuli ya Bahresa hawana uzawa wa ki Tanzania...yani simuonagi kama ni mzalendo.. Ni BEPARI tu..
 
Hawa wafanyabiashara wa ki asia hawana msaada kwa wa Tanzania. Niwanyonyaji tu..
 
Hivi kwa akili za kufikiria tu hata kama hapati faida hawezi uza elfu 30,000 hivi hata radio ndogo ni sh ngapi? Au hatolipa kodi..MTASUBIRI MPAKA MUOTE MATENDE.
 
Unasema ni Mkombozi, kwa taarifa yako huyu ni bepari amekuja kukumaliza. Kama anatengeneza CHAPATI na sasa hivi akina mama majumbani wamekosa soko kwa sababu ya bidhaa zao kuingiliwa na AZAM kwa AZAM CHAPATI, AZAM TUI LA NAZI huyu anakusaidie wewe Mtanzania au anakuua???

Vitu vingine serikali imemwachia mno familia masikini zimezidi kudidimia kwa sababu yake. Kila kitu anataka yeye, jamani kuwe na breki wengine watafanya nini sasa??? UCHOYO HUO!!!

katika watu wenye ufinyu wa mawazo we mi mmoja wao,bakhresa unamjia lakini au unakirupuka tu
 
Unasema ni Mkombozi, kwa taarifa yako huyu ni bepari amekuja kukumaliza. Kama anatengeneza CHAPATI na sasa hivi akina mama majumbani wamekosa soko kwa sababu ya bidhaa zao kuingiliwa na AZAM kwa AZAM CHAPATI, AZAM TUI LA NAZI huyu anakusaidie wewe Mtanzania au anakuua???

Vitu vingine serikali imemwachia mno familia masikini zimezidi kudidimia kwa sababu yake. Kila kitu anataka yeye, jamani kuwe na breki wengine watafanya nini sasa??? UCHOYO HUO!!!
hiyoo ndio real defn ya free market huwezi kumlaumu,watu wanaoogopa kuinvest kwa kuoogopa hhasara matokeoo yyake akiinvest mwingine manenoo yanaanza...
 
Wafanyakazi wake anatulipa 150,000 kwa mwezi wakati mengi anawalipa wafagiaji 400,000!
 
hiyoo ndio real defn ya free market huwezi kumlaumu,watu wanaoogopa kuinvest kwa kuoogopa hhasara matokeoo yyake akiinvest mwingine manenoo yanaanza...

kuna watu ata ni kero kwa kweli,huyu anayepinga hili la mzee bakhresa ni mpuuzi no moja
 
Back
Top Bottom