BabaDesi
JF-Expert Member
- Jun 30, 2007
- 6,226
- 4,188
Ha ha aa kama ndivyo basi safi. Sema kuna wakati zilivuma habari kuwa bakhresa angekuja na mtandao wa simu uitwao mycell.Mpaka leo kupo kimya.Nawasiwasi pia na hili.
...Kulikuwa na taarifa nyingine pia kuwa Mzee wetu alikuwa analeta Magari kuanzisha Kampuni ya Usafirishaji wa Abiria, Sijui amefikia wapi katika hilo???