Mimi nilikuwa nafahamu kuwa wanazindua kituo cha televison hivi karibuni (AZAM TV).
Inawezekana kabisa katika kuendana na teknolojia mpya (kidigitali zaidi) wakaamua kuja na kisimbusi chao, nadhani chaneli nyingi zaidi zitakuwa za kimichezo (sports & entertainment) kitu ambacho naamini kitakuwa ahueni kwa wapenda michezo nchini.
Ni habari njema lakini pia itategemea ataweka channel gani.
afadhali maana tunaonewa sanaKuna habari kuwa bakhresa atakuja na king'amuzi chake ambacho kitauzwa Tshs.30000 na utalipia Tshs. 2000 kwa mwezi.Ina channel 100+. Mwenye habari zaidi atujuze.
nilikuwa karibu na meneja masoko alinialika kunywa azam malt juzi pale bandani kwao 7 7 nilisikia hiyo habar wakizungumzia bt mda huo azam malt kama 13 hiv kichwani ngoja niconfirm tena.