Ving'amuzi vya Azam kuanza kusambaa karibuni...

Mradi wa mabasi upo palepale ila unashindwa kuanza kwasababu njia bado mbovu hazijakamilika kujengwa.

Mbali ya King'amuzi anatarajia kuja na Azam Milk.
 
Sijutii kupata D katika somo la Kiswahili mtihani wa kidato cha 4 miaka hiyo ya Kapuya. Mkuu naomba ufafanuzi kidogo hapo kwenye BOLD maana yake ni nini? na utofauti wake na King'amuzi ni nini?Maana hivi karibuni nimekuwa nalisikia sana hili neno lakini silielewi maana yake

Hii ndio kwakizungu inaitwa DECODER, wewe utakuwa unajua kingámuzi lakini kiswahili fasaha ni kisimbusi
 
092013
[h=3][/h]

954735_403515103099847_348841708_n.jpg
‎
KAMPUNI YA SSB KUPITIA AZAM WANATARAJIA KULETA KING'AMUZI KIPYA NA CHA BEI POA AMBACHO KITAUZWA TSHS 30,000 NA MALIPO YAKE KWA MWEZI NI TSHS 2000. Kwasasa nasikia kipo kwenye majaribio kwa baadhi

Miaka 50 ya Muungano kuna Mtanganyika yoyote aliyevuna MALI ZNZ na Pemba kama BAHRESA alivyovuna Bara?
 
092013

954735_403515103099847_348841708_n.jpg
‎
KAMPUNI YA SSB KUPITIA AZAM WANATARAJIA KULETA KING'AMUZI KIPYA NA CHA BEI POA AMBACHO KITAUZWA TSHS 30,000 NA MALIPO YAKE KWA MWEZI NI TSHS 2000. Kwasasa nasikia kipo kwenye majaribio kwa baadhi

Bora Aisee maana hawa jamaa wanachukua channel za bure hewani(Free to Air) wao wanatuuzia kwa bei kuuuuubwa, Mungu afanye wepesi wenye haraka katika kufanikisha hili
 
092013
[h=3][/h]

954735_403515103099847_348841708_n.jpg
‎
KAMPUNI YA SSB KUPITIA AZAM WANATARAJIA KULETA KING'AMUZI KIPYA NA CHA BEI POA AMBACHO KITAUZWA TSHS 30,000 NA MALIPO YAKE KWA MWEZI NI TSHS 2000. Kwasasa nasikia kipo kwenye majaribio kwa baadhi

Unasema ni Mkombozi, kwa taarifa yako huyu ni bepari amekuja kukumaliza. Kama anatengeneza CHAPATI na sasa hivi akina mama majumbani wamekosa soko kwa sababu ya bidhaa zao kuingiliwa na AZAM kwa AZAM CHAPATI, AZAM TUI LA NAZI huyu anakusaidie wewe Mtanzania au anakuua???

Vitu vingine serikali imemwachia mno familia masikini zimezidi kudidimia kwa sababu yake. Kila kitu anataka yeye, jamani kuwe na breki wengine watafanya nini sasa??? UCHOYO HUO!!!
 
Watanzania watakuwa wamekombolewa ! lakin je serikali itamruhusu huyu bwana kuwanyang'anya wateja wao kutoka Startimes? Let me keep on waiting till comes perfect
 
Lini wanaanza shughuli hawa jamaa coz nina wasiwasi na serikeli kuja kuihujumu hii kitu
 
Unasema ni Mkombozi, kwa taarifa yako huyu ni bepari amekuja kukumaliza. Kama anatengeneza CHAPATI na sasa hivi akina mama majumbani wamekosa soko kwa sababu ya bidhaa zao kuingiliwa na AZAM kwa AZAM CHAPATI, AZAM TUI LA NAZI huyu anakusaidie wewe Mtanzania au anakuua???

Vitu vingine serikali imemwachia mno familia masikini zimezidi kudidimia kwa sababu yake. Kila kitu anataka yeye, jamani kuwe na breki wengine watafanya nini sasa??? UCHOYO HUO!!!
wivu haulipi shemeji.
 
safi sana wachina warudi kwao...
 
Unasema ni Mkombozi, kwa taarifa yako huyu ni bepari amekuja kukumaliza. Kama anatengeneza CHAPATI na sasa hivi akina mama majumbani wamekosa soko kwa sababu ya bidhaa zao kuingiliwa na AZAM kwa AZAM CHAPATI, AZAM TUI LA NAZI huyu anakusaidie wewe Mtanzania au anakuua???

Vitu vingine serikali imemwachia mno familia masikini zimezidi kudidimia kwa sababu yake. Kila kitu anataka yeye, jamani kuwe na breki wengine watafanya nini sasa??? UCHOYO HUO!!!

Mkuu kumbuka hili ni soko huria,Serikali haiwezi kupanga bei kwa niaba ya sekta binafsi.Juu ya sekta binafsi kuja na mikakati ya kibiashara kulingana na fursa na uhalisia wa soko(watazamaji na uwezo wa kipato ulivyo).Azam Tv marketing/sales department ni wazuri katika hilo.Tatizo mlizowea kuwakamua watanzania na kujali faida zenu tu.Ni kweli mtapoteza wateja mlio nao lakini pia atawaongeza wapya wale mliowapoteza kipindi kile wakati ving'amuzi vinaanza kutumika.Badilikeni.
 
Back
Top Bottom