Kuna habari kuwa bakhresa atakuja na king'amuzi chake ambacho kitauzwa Tshs.30000 na utalipia Tshs. 2000 kwa mwezi.
Kna channel 100+
habali nilizo zipata kutoka kwa wadau wa kalibu ni kuwa matangazo yataanza OCTOBER na malipo ya mwezi ni tsh 12,500

Hii itakuwa poa sanaakitaka aje na hela zake pia tutazitumia tu
Isije ikawa ni kwa ajili ya kuonyesha unga na biscut!
Je ni kweli mnalipa elfu 2 kwa mwezi ?Kuna habari kuwa bakhresa atakuja na king'amuzi chake ambacho kitauzwa Tshs.30000 na utalipia Tshs. 2000 kwa mwezi.
Kna channel 100+
Unga gani kaka!!Isije ikawa ni kwa ajili ya kuonyesha unga na biscut!
Take a deep breath...halafu ichunguze hii habari ya lini..Acha uongo,malipo 2000 kwa mwezi wakati vilivyopo kila kukicha anatuongezea gharama za malipo kwa mwezi..!!
Sent using Jamii Forums mobile app