Vin'gamuzi bei chini

Vin'gamuzi bei chini

gpblaze

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2011
Posts
304
Reaction score
14
TUNALALAMIKA VIN'GAMUZI BEI IKO JUU MBONA TUNAZUNGUSHA ROUND ZA POMBE/BIA ZA 40,000 TSH TUNAPOKUWA BAR?
wabongo tunapenda kulia ukata,subiri kichapo chake pale mbongo anapozipata,ni mwendo wa kiti kirefu jirani na nyama choma na toto mbili za geti au za corner(ambiance)
ETI TUNASEMA ANAPOTEZA MAWAZO. BONGO DSM....UTALIA
 
bia mbili elfu nne...mziki bure,unacheki game ya chelsea vs man u live,unatafakari maisha,unafurahi na marafiki,unapata madili,unachangia pato la taifa n.k

kinga'muzi kila mwezi elfu tisa,unaonyeshwa propaganda za magamba,unatumia umeme,kinascratch,na mauzauza kibao!

DRINK BEER SAVE WATER!
 
Bongo ya sasa si ya mwaka 47, hata bibi kizee sasa anafanya ukahaba..!
 
bia mbili elfu nne...mziki bure,unacheki game ya chelsea vs man u live,unatafakari maisha,unafurahi na marafiki,unapata madili,unachangia pato la taifa n.k

kinga'muzi kila mwezi elfu tisa,unaonyeshwa propaganda za magamba,unatumia umeme,kinascratch,na mauzauza kibao!

DRINK BEER SAVE WATER!

ahahahahaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Kwa mawazo yako unafikiri ni kila mtu anayehitaji king'amuzi ni mnywaji wa bia.Na je unataka mtu asinywe ili akazulumiwe.Inaonekana bado unaishi kwa wazazi.
 
Ok kumbe mwanachama wa round
 
Mnywaji wa bia anaweza akawa ndio huyo muhitaji katka maana ya kwamba ndio mwanafamilia na anategemewa.
 
Kitaletwa kin'gamuzi cha kuishi tuone kama hatutalipia
 
hicho labda wakilinde na mbingu yaan kwakukiweka mbinguni vinginevyo nitakiiba allla unacheza na uhai?',,,,
 
bia mbili elfu nne...mziki bure,unacheki game ya chelsea vs man u live,unatafakari maisha,unafurahi na marafiki,unapata madili,unachangia pato la taifa n.k

kinga'muzi kila mwezi elfu tisa,unaonyeshwa propaganda za magamba,unatumia umeme,kinascratch,na mauzauza kibao!

DRINK BEER SAVE WATER!
Big up kaka wengine wazushi tu acha watu wale biere
 
Vijana wetu wa VETA watutengenezee ving'amuzi vya buku bana!
 
TUNALALAMIKA VIN'GAMUZI BEI IKO JUU MBONA TUNAZUNGUSHA ROUND ZA POMBE/BIA ZA 40,000 TSH TUNAPOKUWA BAR?
wabongo tunapenda kulia ukata,subiri kichapo chake pale mbongo anapozipata,ni mwendo wa kiti kirefu jirani na nyama choma na toto mbili za geti au za corner(ambiance)
ETI TUNASEMA ANAPOTEZA MAWAZO. BONGO DSM....UTALIA

Lazima utakuwa na matatizo kichwani..
 
Vijana wetu wa VETA watutengenezee ving'amuzi vya buku bana!

Mawe yao ! Mbona mbingu itapasuka ! Hao maprofessor wenu pale Muhimbili mpaka leo wameshindwa hata kutengeneza PPF injection ! Na kama Veta wataweza basi ndiyo siku Tv zote za nchi hii zitaungua !
 
Uwezo wanao kaka sema serikali haitii mkazo ktk hiyo sector.
Vipaji vipo ila muendelezo hakuna,si unaona watu wanagundua manati za kisasa lakini badala ya kupewa support ndiyo kwanza wanafunguliwa kesi eti wanaunda SMG pori.
Binafsi kunajamaa yangu aliunda kakifaa mfano wa tv booster na kuweka visumaku flani akawa anakamata DSTV tena kwa antenna za kawaida tu ila kwa sasa sijui kapotelea wapi maana angekuwa msaada mkubwa kwa wadau humu forum
 
TUNALALAMIKA VIN'GAMUZI BEI IKO JUU MBONA TUNAZUNGUSHA ROUND ZA POMBE/BIA ZA 40,000 TSH TUNAPOKUWA BAR?
wabongo tunapenda kulia ukata,subiri kichapo chake pale mbongo anapozipata,ni mwendo wa kiti kirefu jirani na nyama choma na toto mbili za geti au za corner(ambiance)
ETI TUNASEMA ANAPOTEZA MAWAZO. BONGO DSM....UTALIA

ndio nini sasa hii..
 
tatzo cyokulipia tatizo channel za local za Tz hamna mfano Mlimani tv,clouds tv na Dtv imewekwa kwenye kifurushi cha elfu 20 why?
 
bia mbili elfu nne...mziki bure,unacheki game ya chelsea vs man u live,unatafakari maisha,unafurahi na marafiki,unapata madili,unachangia pato la taifa n.k

kinga'muzi kila mwezi elfu tisa,unaonyeshwa propaganda za magamba,unatumia umeme,kinascratch,na mauzauza kibao!

DRINK BEER SAVE WATER!

umetisha jomba
 
Back
Top Bottom