Vin'gamuzi bei chini

Vin'gamuzi bei chini

TUNALALAMIKA VIN'GAMUZI BEI IKO JUU MBONA TUNAZUNGUSHA ROUND ZA POMBE/BIA ZA 40,000 TSH TUNAPOKUWA BAR?
wabongo tunapenda kulia ukata,subiri kichapo chake pale mbongo anapozipata,ni mwendo wa kiti kirefu jirani na nyama choma na toto mbili za geti au za corner(ambiance)
ETI TUNASEMA ANAPOTEZA MAWAZO. BONGO DSM....UTALIA

Man what are you talking about? usipost kama huna cha kusema. aaarrrgghhhh!
 
bia mbili elfu nne...mziki bure,unacheki game ya chelsea vs man u live,unatafakari maisha,unafurahi na marafiki,unapata madili,unachangia pato la taifa n.k

kinga'muzi kila mwezi elfu tisa,unaonyeshwa propaganda za magamba,unatumia umeme,kinascratch,na mauzauza kibao!

DRINK BEER SAVE WATER!

kumbuka hata bia inatengenezwa kwa maji
 
bia mbili elfu nne...mziki bure,unacheki game ya chelsea vs man u live,unatafakari maisha,unafurahi na marafiki,unapata madili,unachangia pato la taifa n.k

kinga'muzi kila mwezi elfu tisa,unaonyeshwa propaganda za magamba,unatumia umeme,kinascratch,na mauzauza kibao!

Drink beer save water!

yap!!! Yap!!!! Imetulia sanaaa...
 
bia mbili elfu nne...mziki bure,unacheki game ya chelsea vs man u live,unatafakari maisha,unafurahi na marafiki,unapata madili,unachangia pato la taifa n.k

kinga'muzi kila mwezi elfu tisa,unaonyeshwa propaganda za magamba,unatumia umeme,kinascratch,na mauzauza kibao!

DRINK BEER SAVE WATER!

yes sir tishaa wewe!!
 
Wewe ndo wale walevi hadi unakojolea kingmuzi
 
Buy kin,gamuz upate habari acha bia.
 
meningitis;; Nimeipenda post yako Mkubwa na hapo hapo unaambiwa unit za umeme zimepanda mara dufu!!! Mama yangu serikali ya ccm a.k.a mafisadi ni janga kwa Taifa letu!!!!

bia mbili elfu nne...mziki bure,unacheki game ya chelsea vs man u live,unatafakari maisha,unafurahi na marafiki,unapata madili,unachangia pato la taifa n.k

kinga'muzi kila mwezi elfu tisa,unaonyeshwa propaganda za magamba,unatumia umeme,kinascratch,na mauzauza kibao!

DRINK BEER SAVE WATER!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom