Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

Yaani Mkapa alimuua BABA WA TAIFA kisa alipinga UBINAFSISHAJI!

Na kwa nini mpaka leo Mkapa anaendelea kuwatukana Wa tanzania wapumbavu na malofa? Huu ujasiri anaupata wapi? Na ndio maana akiona upinzani umewakaba koo wanamleta kuja kuokoa jahazi kwa matusi. Lakini akae akijua machozi tuliolia watanzania kumlilia JKN itakuwa laana yake na watoto wake milele.Yaani kweli mtu akupe urais wa nchi shukurani unayompa ni mauti? Haina shida kwani yeye ataishi milele? Na sijui familia ya Nyerere walipewa zawadi gani hadi leo wamekaa kimya.
 
Maswali ya kujiuliza ni haya:


kwa nini mkapa alimpiga marufuku daktari wake Mtanzania asimsogelee mwalimu wakati akiwa hosptali?

Pili, ni kwa nini serikali iliamua kumpeleka London wakati walijua kuwa Uingereza haikuwa na uwezo wakati huo kutibu leukemia, kama kweli leukemia ndio uliomsumbua Mwalimu?


Kwa nini daktari wake hakushauri apelekwe New York kwa yule daktari aliyempima Mwalimu 1998?

kwa nini walipomfikisha london hawakumpeleka hosp moja kwa moja bada yake wakamuweka mwalimu hotelini hadi alipozimia ndo wakampeleka hosp?


Kwa nini alipelekwa hospitali ya St. Thomas ambayo ni general hospital isiyo specialize na magonjwa maalumu?

kwa nini hakuwekwa chumba maalumu akawekwa tu eneo wazi la wagonjwa wote?



napenda kuhitimsha hivi mkapa anahusika na kifo cha mwalimu Nyerere

Na nyongeza tu. Ni kwa nini mwalimu alijiuliza kuwa Mkapa anaona afya ya mwalimu si nzuri wakati yeye mwalimu hajisikii kuumwa? Na kwa nini mwalimu aliondoka hapa nchini anatembea akiwa na afya na kupanda ndege kwa miguu yake mwenyewe, lakini wakati anarudi yuko kwenye Jeneza?
 
Kama anaweza ampe na sasa, si alitembelea nyota ya Nyerere Arumeru, sasa nyerere wa kweli yupo CCM

Kama hujui uliza ueleweshwe? Kwa hiyo Vincent doesn't belong to Nyerere family au ndio kukariri wenye hati miliki ya jina la Nyerere ni watoto wa Julius tu na sio wa Kiboko?
 
Halafu kuna huyu aliyekuwa Prime Minister wake, Frederick Sumaye wakati huyu mzee anafariki. Kweli asijue kilichofanyika!??

Kwa nini wanamtukana na kumtia hasira? Si ataanza kumvua nguo aliyekuwa Rais wake kwa ishu hii na kuzipa nguvu tuhuma hizi??

I smell something interesting and terrible aahead!

Na ndio maana utaona, kwa kutambua haya, Kikwete na Magufuli walikuwa makini wakichagua maneno ya kuyatumia kuishambulia kambi ya upinzani, tena kuna wakati inabidi ujiongeze ili uelewe wanamlenga nani katika baadhi ya ajenda!

Ni onanvyo mimi, ama kwa makusudi ama kwa bahati mbaya, Mkapa amewapa upinzani point nyingine mpya ya kuiongelea na ambayo nadhani ikijibiwa, italeta shida sana kwa ccm na mkapa mwenyewe!
 
Laana ya Mwalimu Nyerere inawatafuna CCM...na bado watqsiganq mpaka watatafutq mlango wa kutokea! Ni wazi Mkapa bila kusaidiwa na Mwalimu Nyerere asingekuwa Rais wq Tz...pamoja na hayo Ahsante yake ikawa ni kumuua baba wa Taifa!
 
Na nyongeza tu. Ni kwa nini mwalimu alijiuliza kuwa Mkapa anaona afya ya mwalimu si nzuri wakati yeye mwalimu hajisikii kuumwa? Na kwa nini mwalimu aliondoka hapa nchini anatembea akiwa na afya na kupanda ndege kwa miguu yake mwenyewe, lakini wakati anarudi yuko kwenye Jeneza?
Mkapa ni Mafia wa Kimataifa.
 
umeahirishwaa

No sijapata tarehe ya kuahirishwa bado ni tar 29 na ni pale pale Jangwani baada jaji Lubuva kuamuru UKAWA waendelee na ratiba yao.Halmashauri ya jiji la Dar es slaam walikuwa wamekatalia UKAWA kuzindua kampeni yao pale. Hii nchi ina ubaguzi kwa wapinzani tu hasa UKAWA.
 
Mkapa ajielewi huyo msimseme sana mtakua mnamuonea bure msipagawe na kipara kile ni kovu tu....

Amepona mguu? Anaweza kutembea vizuri sasa? Sijamwona hadharani muda merefu. Ivi hajaenda kumwona Mramba kule.
 
kama ningekua nafanya utafiti wa ufuasi wa wanaJF kwa vyama ama wagombea kipitia jukwaa hili ningekua nisha conclude kua Lowassa atashinda kwa zaidi ya asilimia 70.
 
Back
Top Bottom