Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

Mkapa ni jambazi sugu na inabidi akamatwe, afunguliwe mashitaka, akipatikana na hatia lazima anyongwe.
 
Hapa tuache ushabiki mkapa ni zaid ya vicent kwenye familia ya mwalim kwan undugu haupangwi
 
Lakuvunda halina ubani nilishawahi kusikia hizi tetesi na siku zote lisemwalo lipo amini hivyo.....
 
Wana JF leo katika viwanja vinne tofauti vya kampeni Mbunge wa Musoma Mjini ambae ndie Meneja Kampeni wa Arumeru Mashariki (Vincent Nyerere) amemjibu Mkapa kuwa.

Aache unafiki wa siasa kwani ana Siri nzito juu yake ambayo ni muda muafaka sasa kwa Watanzania kuijua,na kudai kuwa yeye si mtoto wa Julius Nyerere kama anavyopotosha Mkapa ila ni wa Josephat Nyerere

Josephat na Julius ni mtu na Mdogo wake(kama hataki ajinyonge) huku akishangiliwa na umati mkubwa Sana uliohudhuria katika viwanja vya mkuytano uliofanyika Sing'si alimtaka Mkapa ajibu na aweke wazi juu ya Kifo cha baba wa Taifa aliyeondoka Butiama akiwa Mzima aliyekwenda tu kupima Afya na kurudi Mfu, huku umati ukipiga Mayowe kwa kushangilia, alitaka aweke wazi kilichomuua baba wa Taifa huku akimwaga Hadharani tofauti zilizojitokeza na Ugomvi kati yake na Mwalimu kilichopelekea Mkapa kuamua na kulazmisha mwalimu apelekwe London kutibiwa (kuuwawa) huku Nyuma akimyamazisha Daktari wa Mwalimu kwa kumpa Uwaziri ili asiseme kilichotokea.

Na alisema ilikuwaje Mkapa ataje Ugonjwa wa mwalimu ili hali Daktari wake yupo?alihoji, amemwaga vitu vingi ambavyo kwa kweli vitaleta Maswali Mengi juu ya wananchi wa Tanzania na dunia kwa ujumlaa...

Nikiripoti kutoka Uwanja wa Mapambano wa Arumeru ni mimi Mgosi Mgeni wenu wa JamiiForums
Mimi hawa wanasiasa wetu udwanzi hunishinda kabisa... Sasa wewe Vicent Nyerere miaka yote ulikuwa wapi kuyasema haya ila leo ndio wajitanua? Hizi ni siasa za aina gani kama sii uchinvi mtupu na ndio maana wewe sii mtoto wa Nyerere maana haikukuuma kiroho toka zamani isipokuwa leo kwenye majukwaa kunadi UKAWA...

Nakumbuka wakati mwalimu akiumwa na kuuguzwa pale Butiama hivi nyie mnaojiita leo watoto wa Nyerere mlikuwa wapi? kiasi kwamba Warioba alipopita kumtembelea mwalimu alimkuta peke yake na mkewe mama Maria akimuuguza mmewe ana mkanda wa Jeshi! kina nyie mlikuwa wapi? Leo ndio tunawasikia ooh mimi mtoto wa Joseph mdogo wake mwalimu - Kwa hiyo? achani uchunvi, kama madai haya kweli yapeleke mahakamani kafungue kesi sii unajua kila kilichotokea! Majukwaani inasaidia nini kama sii upumbavu mwingine...
 
Vicent Nyerere baada ya Kupambana Na Vedastus Mathayo Wewe unapambana na Mkapa Subiri uone kama utarudi Bungeni Mwaka huu

Habari yako ishakwisha hapo Musoma Kwani habari Ya Mujini Ni Veda tuuuuuuuu
 
Mimi hawa wanasiasa wetu udwanzi hunishinda kabisa... Sasa wewe Vicent Nyerere miaka yote ulikuwa wapi kuyasema haya ila leo ndio wajitanua? Hizi ni siasa za aina gani kama sii uchinvi mtupu na ndio maana wewe sii mtoto wa Nyerere maana haikukuuma kiroho toka zamani isipokuwa leo kwenye majukwaa kunadi UKAWA...

Nakumbuka wakati mwalimu akiumwa na kuuguzwa pale Butiama hivi nyie mnaojiita leo watoto wa Nyerere mlikuwa wapi? kiasi kwamba Warioba alipopita kumtembelea mwalimu alimkuta peke yake na mkewe mama Maria akimuuguza mmewe ana mkanda wa Jeshi! kina nyie mlikuwa wapi? Leo ndio tunawasikia ooh mimi mtoto wa Joseph mdogo wake mwalimu - Kwa hiyo? achani uchunvi, kama madai haya kweli yapeleke mahakamani kafungue kesi sii unajua kila kilichotokea! Majukwaani inasaidia nini kama sii upumbavu mwingine...

Uzi wa 2012 Lodilofa,jibatie kazi.
 
Ngoma draw,mzee wa visasi alimaliza kazi take Musoma,maana hakutaka huyu MTU arudi maana ni Hatari sana ,haigopi serikali wala hapepesi wala kumngunya mambo
 
Ngoma draw,mzee wa visasi alimaliza kazi take Musoma,maana hakutaka huyu MTU arudi maana ni Hatari sana ,haigopi serikali wala hapepesi wala kumngunya mambo

Kipigo na machungu aliyoyapata Arumeru kaamua kuja kuyamalizia musoma mjini
 
Back
Top Bottom