Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

Mkuu Mode, as a tribute kwa Rais wetu Mstaafu, Mhe. Dr. Benjamin William Mkapa, nashauri uzi huu ufungwe.
RIP rais wetu mstaafu, Dr. Benjamin William Mkapa, tunakuomba msamaha kwa yote tuliyoyasema kukuhusu wewe ambayo mengine sio mazuri.
Tunakuombea upumzike kwa amani.
RIP BWM
Paskali

Lofa wa kawe
 
kaaaaazi kweli kweli leo 😳 😳 wataulizana wenyewe huko wakikutana mbinguni ........
 
Hivi wewe bado kuna MTU anapoteza muda wake kukusikiliza?lofa wa kisukuma.
Mkuu Mode, as a tribute kwa Rais wetu Mstaafu, Mhe. Dr. Benjamin William Mkapa, nashauri uzi huu ufungwe.
RIP rais wetu mstaafu, Dr. Benjamin William Mkapa, tunakuomba msamaha kwa yote tuliyoyasema kukuhusu wewe ambayo mengine sio mazuri.
Tunakuombea upumzike kwa amani.
RIP BWM
Paskali
 
Wana JF leo katika viwanja vinne tofauti vya kampeni Mbunge wa Musoma Mjini ambae ndie Meneja Kampeni wa Arumeru Mashariki (Vincent Nyerere) amemjibu Mkapa kuwa.

Aache unafiki wa siasa kwani ana Siri nzito juu yake ambayo ni muda muafaka sasa kwa Watanzania kuijua,na kudai kuwa yeye si mtoto wa Julius Nyerere kama anavyopotosha Mkapa ila ni wa Josephat Nyerere

Josephat na Julius ni mtu na Mdogo wake(kama hataki ajinyonge) huku akishangiliwa na umati mkubwa Sana uliohudhuria katika viwanja vya mkuytano uliofanyika Sing'si alimtaka Mkapa ajibu na aweke wazi juu ya Kifo cha baba wa Taifa aliyeondoka Butiama akiwa Mzima aliyekwenda tu kupima Afya na kurudi Mfu, huku umati ukipiga Mayowe kwa kushangilia, alitaka aweke wazi kilichomuua baba wa Taifa huku akimwaga Hadharani tofauti zilizojitokeza na Ugomvi kati yake na Mwalimu kilichopelekea Mkapa kuamua na kulazmisha mwalimu apelekwe London kutibiwa (kuuwawa) huku Nyuma akimyamazisha Daktari wa Mwalimu kwa kumpa Uwaziri ili asiseme kilichotokea.

Na alisema ilikuwaje Mkapa ataje Ugonjwa wa mwalimu ili hali Daktari wake yupo?alihoji, amemwaga vitu vingi ambavyo kwa kweli vitaleta Maswali Mengi juu ya wananchi wa Tanzania na dunia kwa ujumlaa...

Nikiripoti kutoka Uwanja wa Mapambano wa Arumeru ni mimi Mgosi Mgeni wenu wa JamiiForums
Daaah
 
Mkuu Mode, as a tribute kwa Rais wetu Mstaafu, Mhe. Dr. Benjamin William Mkapa, nashauri uzi huu ufungwe.
RIP rais wetu mstaafu, Dr. Benjamin William Mkapa, tunakuomba msamaha kwa yote tuliyoyasema kukuhusu wewe ambayo mengine sio mazuri.
Tunakuombea upumzike kwa amani.
RIP BWM
Paskali
Yaani Uzi umeufufua wewe Halafu unawaambia moderator waufunge?
We jamaa mnafiki kweli
 
Mkuu Mode, as a tribute kwa Rais wetu Mstaafu, Mhe. Dr. Benjamin William Mkapa, nashauri uzi huu ufungwe.
RIP rais wetu mstaafu, Dr. Benjamin William Mkapa, tunakuomba msamaha kwa yote tuliyoyasema kukuhusu wewe ambayo mengine sio mazuri.
Tunakuombea upumzike kwa amani.
RIP BWM
Paskali
Kaka teuzi zimeshaisha kuwa real tena, acha watu waseme
 
Mkuu Mode, as a tribute kwa Rais wetu Mstaafu, Mhe. Dr. Benjamin William Mkapa, nashauri uzi huu ufungwe.
RIP rais wetu mstaafu, Dr. Benjamin William Mkapa, tunakuomba msamaha kwa yote tuliyoyasema kukuhusu wewe ambayo mengine sio mazuri.
Tunakuombea upumzike kwa amani.
RIP BWM
Paskali
Unafiki wa kiwango cha lami.

Mtu amekufa wewe unamuombaje msamaha?
 
Mkuu Mode, as a tribute kwa Rais wetu Mstaafu, Mhe. Dr. Benjamin William Mkapa, nashauri uzi huu ufungwe.
RIP rais wetu mstaafu, Dr. Benjamin William Mkapa, tunakuomba msamaha kwa yote tuliyoyasema kukuhusu wewe ambayo mengine sio mazuri.
Tunakuombea upumzike kwa amani.
RIP BWM
Paskali
Pasi wacha unafiki wewe ndiyo umelifukua hili kaburi halafu unataka mods walifukie, uliimaanisha nini ulipoupandisha huu uzi? Be serious please.
 
Ningependa rambirambi yangu niitolee katika Uzi huu

Upumzike kwa amani B.mkapa,

Hii dunia tunapita tu, ndugu zangu tujitahidi kuishi vyema na watu jeuri ya pumzika isitufumbe macho

Msalimie baba wa taifa, mzee nyerere

Sis bado tunadunda malofa na mashekh wetu

#kila nafsi itaonja mauti
 
Mkuu Mode, as a tribute kwa Rais wetu Mstaafu, Mhe. Dr. Benjamin William Mkapa, nashauri uzi huu ufungwe.
RIP rais wetu mstaafu, Dr. Benjamin William Mkapa, tunakuomba msamaha kwa yote tuliyoyasema kukuhusu wewe ambayo mengine sio mazuri.
Tunakuombea upumzike kwa amani.
RIP BWM
Paskali

unaweweseka

lakini mwenyewe ndiye umefukua
 
Dah,enzi hizo siasa ilikuwa kitu kigumu sana,na uwe na data za kutosha🙄🙄
 
Ningependa rambirambi yangu niitolee katika Uzi huu

Upumzike kwa amani B.mkapa,

Hii dunia tunapita tu, ndugu zangu tujitahidi kuishi vyema na watu jeuri ya pumzika isitufumbe macho

Msalimie baba wa taifa, mzee nyerere

Sis bado tunadunda malofa na mashekh wetu

#kila nafsi itaonja mauti

Lakini uombe Mungu ufikie japo umri aliofikia huyu mzee, kumbuka amefariki na 80+ ambayo ni nyongeza Mungu kampa. Uishi vizuri au vibaya na watu, death is inevitable!!
 
Nyongeza ya maisha ya binadamu anayostahili kupewa na Mwenyezi Mungu, ni mpaka ufikishe miaka mingapi?
 
Mkuu Mode, as a tribute kwa Rais wetu Mstaafu, Mhe. Dr. Benjamin William Mkapa, nashauri uzi huu ufungwe.
RIP rais wetu mstaafu, Dr. Benjamin William Mkapa, tunakuomba msamaha kwa yote tuliyoyasema kukuhusu wewe ambayo mengine sio mazuri.
Tunakuombea upumzike kwa amani.
RIP BWM
Paskali
wewe mayalla wa kura 1 ndyo umefufua huu uzi alafu unaleta janjajanja eti "as tribute..."
 
Back
Top Bottom