Vin Diesel amefiwa

Vin Diesel amefiwa

Pole sana mpenzi!
Mwenyezi Mungu awape faraja katika kipindi hiki kigumu!
 
Poleni saana Diesel. Mungu awajalie wepesi katika shughuli yote ya Msiba. Mamndenyi tunashukuru kwa taarifa. Pamoja Saana.
 
Last edited by a moderator:
Daaah iasikitisha sana lakini ndiyo mapenzi ya Mungu!!! Pole sana Vin Diesel na msiba mzito ulikupata.
 
Last edited by a moderator:
Allah niwakushukuriwa kwa kila hali, natanguliza pole kwako Vin ktk kipindi hiki kigumi...
 
Pole sana mkuu Vin Diesel, Mungu akutie nguvu katika kipindi hiki kigumu cha msiba huu mzito..........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom