Vin Diesel amefiwa

Vin Diesel amefiwa

jamani pole sana Vin Diesel, Mungu akutie nguvu katika msiba huo mzito na awe faraja kwenu nyote
 
Last edited by a moderator:
Please accept my deepest condolences. I am praying for strength and comfort for you at this time.
 
Salaam wana bodi,

Nasikitika kuwajulisheni kwamba Vin Diesel alifiwa na mtoto wa shangazi yake.
Kwa bahati mbaya zaidi ilipofika jana shangazi yake naye pia akafariki.

Tuungane na mwenzetu katika kipindi hiki kigumu sana kwake.

Nawasilisha.

Mkuu shukrani kwa taarifa.. msiba uko hapa hapa dar au? angalau kama kuna watu wana nafasi tunaweza kujumuika kumpa pole, juzi tulikuwa nae pamoja kwenye whitepatty tunakula khanga iweje kwenye matatizo tumwache peke yake?? naomba kama una namba yake uniPm pls.
 
Mkuu Vin Diesel pole sana na matatizo Mkuu
Mwenyezi Mungu akupe nguvu katika kipindi hiki kigumu na pia azilaze roho za marehem mahali pema peponi
 
Last edited by a moderator:
Pole Sana Vin!
same;5613305]inahuzunisha ,pole sana mkuu ....mwenyezi mungu akutie nguvu[/QUOTE
 
Pole sana ndugu yetu,
Mungu awape nguvu na faraja wafiwa.
 
Pole sana Vin Diesel

At this sad time of death of your aunt and the baby i want to
share my heartfelt CONDOLENCES with you.
Let her and the baby's souls rest in PEACE in the feet of ALMIGHTY.
Have courage to face the situations and we are all with you in sharing your irrepairable loss, which no words can fill in.
We all pray God to give You the strength.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom