Vimbwanga na vituko vya boss wetu

Bilashaka ulifukzwa
 
Mwanaume unaandika bwanaa wee

Mwanaume unaandika boss wetu

Hilo neno boss wetu wanatajaga kina dada huwezi ongea na simu kwenye usafiri wa umma useme boss wetu huko mkoa nilipo wataomba no zako
Punguza kujiongopea akili yko
 
Una elimu gani?
Huoni ni wakati mzuri usome hata QT?
Je si vizuri pia hata ukianza mazoezi ya kutumia akili?
 
Umeongea point sana mdau, wafanyakazi wa sekta binafsi wana kua active sanaa, yaani ule ujuzi wake ndio unamweka pale so anakua makini zaidi achilia mbali na ukali wa boss. Hata kimaisha wanakua na maisha mazuri kwani huwa wanawaza sanaa ili watoboe waondokane na mikasa ya boss, Sasa hivi ninabiashara zangu nazisimamia kikamilifu nikiogopa nisije filisika nikaingia kwenye kikaango cha ajira tena.
 
Yupo vizuri sana bosi wenu.Hamjui tu kuishi naye kwa mbongo/akili mingi.Halafu umeeleza ni shabiki wa Mnyama eee?Huyo ni mwamba sana.Yafaa muwe mnamuita master!Mnyama sana!πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yupo vizuri sana bosi wenu.Hamjui tu kuishi naye kwa mbongo/akili mingi.Halafu umeeleza ni shabiki wa Mnyama eee?Huyo ni mwamba sana.Yafaa muwe mnamuita master!Mnyama sana![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna andiko Hapa juu ya mashabiki kindakindaki wa timu hizi. Wana shida flani hivi. Wanasema
 
Ila Mkuu unadhalilishwa na wewe unachukulia ni kituko. Amka Mkuu huyo jamaa anatakiwa kujua na kuheshimu mchango wa kila mtu hata awe mdogo kiasi gani.
 
Kuna mibosi mingine ya hovyo Sana.Unakuta mtu amekorofishana na mmewe ama mkewe nyumbani kwao Sasa asubuhi amebeba mihasira Yake anakuja kuipozea kwenu waajiriwa wake.

Aisee Hakuna kitu kibaya Kama kufanya kazi chini ya boss wa kike, usipoangalia vizuri unaweza jikuta umemtandika makonde
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Poleni sana. Mmebahatika kuwa na "Limbukeni" wala sio boss!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…