Vimada wa Vigogo Mafisadi..

Mwanakijiji unaanza tabia mbaya ya kuchafua viongozi wa serikali. Unakumbuka ulianzisha thread ya picha ya ngono za Kikwete na matokeo yake ukasababisha mmoja wa wachangiaji humu amchafue Rais wetu kwa ujumbe wake hapa: http://66.102.9.104/search?q=cache:...php?p=148313+Kikwete+Ngono&hl=en&ct=clnk&cd=1

Mjadala huu wa kuchafua viongozi ndio ukafuatiwa na kukamatwa kwa wanaJF. Sasa msiseme hamkuonywa.

PM

What are you trying to say now ? Kwamna kundi la CCM kutukana watu ni sawa na leo hawa kuambiwa ukwlei itakuwa ni kutukana viongozi ? Uongozi ni maadili na matendo pia .
 
What are you trying to say now ? Kwamna kundi la CCM kutukana watu ni sawa na leo hawa kuambiwa ukwlei itakuwa ni kutukana viongozi ? Uongozi ni maadili na matendo pia .

Mitomingi,

huyo paparazi muwazi zake ndizo hizo ... fuatilia posts zake uone explosions zake maana ameanza kupagawa kama walivyofanya last time mambo yalipoanza kuwaka hapa JF!

Wakidhani kuwa wao wanajua hili basi kumbe JF iko five steps ahead na ukichukulia kuwa this time hasara hayuko hapa JF basi wasitegemeee kuwa itakrash mambo yakiendelea kwenye hiyo trend wanayotaka wao kwa muda!
 
I warned these guys muda sasa lakini wamekuja na gia kubwa ya kuzusha na kuacha kujadili hoja chovu.Leo wameanza kumtukana Mbowe na Zitto na wameacha hoja yenyewe .It is aboit time sasa twende deep na kuona lipi linafaa .Nasema Wapinzani got nothing to loose sasa wacha tuingie kwa undani kijulikane kwanza CCM wanasema kuzaa nje ya ndoa ni Ujasiri .Comments za mtu mmoja last week mie hata sikutaka kugusa wala kusema leo nasema maana I am about to explode myself then mtaokota vipande

kama wanatubutu kusema kuzaa nje ya ndoa ni ujasiri basi ujue there is somethingi really wrong some where, kuzaa nje ya ndoa ni kutoijali na kuithamini familia, kuna madhara makubwa sana ya kuzaa nje ya ndoa, kila mtu anayajua (hata wale waliokwisha kuzaa nje tayari) na sina haja ya kuyataja.

Ukiachana na kuidharau na kuiumiza familia hata huyo "mjasiri" pia hajithamini na kikubwa zaidi ni kwamba amesha katatamaa ya maisha.. (hakuna kitu kibaya kama kukata tamaa kimaisha, kifupi ni ugonjwa wa akili, na hata aliyekata tamaa alieko kwny death row ana nafuu)

sasa kwa viongozi wetu kushindwa kuithamini, kuipenda, kuiongoza kuijali familia na hata wao binafsi wataweza kutuongoza kweli???????

jamani hebu tusiwe tunaenda na mkumbo tuu, maana wengi wetu hapa tz tunafata mikumbo hata unzinzi tunaona ni fashaion

BADO SANA.....
 
Wenzako hapa wanajisifia kuwa wana "madume ya mbegu" huko ccm ingawa mpaka leo sijajua huu usemi una maana gani... grrrrrr
 
vimada wa vigogo mafisadi, mafisadi, mafisadi, mavi-sadi, mavi-sadi ! eee acha weee eeee !

Mtani wangu KadaMpizani nina wasi wasi wewe ni jamaa mfupi sana maana unabishana kufa mtu hahahahaha watu wafupi bwana balaaa...ubishiiiiiiiiiii
 
Mtani wangu KadaMpizani nina wasi wasi wewe ni jamaa mfupi sana maana unabishana kufa mtu hahahahaha watu wafupi bwana balaaa...ubishiiiiiiiiiii

Alianzisha ugomvi hapa wa kupondea JF akachemsha kwa hiyo usishangae akianza kutumia hiyo lugha ...lol. Naona balance aliyotaka ni hii ya kusema kuwa Mbowe ametembea na mke wa Mkapa na anamfukuzia mke wa Mbowe! ukishangaa ya ROstam basi jiandae kuona ya Makamba!
 
Mtani wangu KadaMpizani nina wasi wasi wewe ni jamaa mfupi sana maana unabishana kufa mtu hahahahaha watu wafupi bwana balaaa...ubishiiiiiiiiiii

ahh,sema somo !

Mzee wa ushi wa urombo, hamna lolote mie tena 6'4 (foot n' inches) lakini tunasikia vimada wa vigogo mafisadi eee mavi-sadi ee mafisadi wee eee ! halafu kimyaaaaaaaaaaaaaa..mwenyewe kaondoka !
 
Aaaaaah mimi nawataja watajiju kivyao vyao na hasa huyu muheshimiwa sana mwenye mtoto wa kiume, kama anabisha aseme sasa la sivyo nitamweka wazi hapa
 
Aaaaaah mimi nawataja watajiju kivyao vyao na hasa huyu muheshimiwa sana mwenye mtoto wa kiume, kama anabisha aseme sasa la sivyo nitamweka wazi hapa

haya basi.. wakianza nude scenes naona watapata the whole movie hapa hapa JF.... nimekamata popcorn zangu tayari kabisa kwa hii movie ambayo inaonekana kama itakuwa ndefu kuliko za kihindi!
 
Mwanakijiji alipoanza hii thread nilijua anakuja na story ya uhusika wa vimada wa mafisadi katika kuficha na kupitisha fedha za ufisadi. Sasa naona kuwa ni issue tofauti na hii mimi ningependa kukaa pembeni......

Tanzanianjema
 
Niliwapa onyo mwaka jana... mkadhani ninawatania.. mjiandae.... mmoja baada ya mwingine ili liwe somo kwenu na kwa wapambe wenu.. Mnataka kuzungumzia mambo ya kitandani na chini ya mablanketi?
Wacha mikwara... wakati wewe unapiga kelele wenzio wanatekeleza... Then haya mambo ya kuwasha moto na kukaa mbali kama sie yameshapitwa na wakati..
 
This thread has up to this point proved to be useless..sasa mbona hamna chamaana kilicho ongewa.. tajeni shutma and or majina au jadilini kijumla au nyamazeni.. sio "ooh mimi, najua, ntasema, sijui nini..." kila mtu malaya(at least most wanaume wakibongo) kwanjia moja ama nyingine.leteni data au tufungemada.
 
Hivi kwenye post ya kwanza nimetoa ahadi ya kufanya nini na nimeipa muda gani? Whatever I got to do it'll be at my own discretion and at a place, means and time of my own choosing.
 
Ama kweli tumeishiwa mambo muhimu ya kujadili.
Tunataka kujua vimada wa vigogo mafisadi ili itusaidie nini?.
Kimada katongozwa kama wanavyotongozwa wanawake wengine sasa hapa nini cha ajabu?. Na isitoshe hayo ni mambo ya faragha ama siri ya mtu binafsi, kwanini tuingilie?.
Gari ina matairi manne lakini bado ina kuwa spare tyre, kuna ajabu gani kwa viongozi wetu kuwa na vimada?. Ina maana hapa JF hakuna watu wenye vimada ama nyumba ndogo?. Na wengine hapa wana marafiki wa kike/kiume zaidi ya mmoja, sasa cha ajabu ni nini kwa viongozi kuwa na dogodogo?. Raha ya kuwa na pesa ni matumizi na hasa yale yatakayofanya roho yako ifurahi.
 
Nachangia mara chache sana kwa kuwa mimi hupenda Kupita JF na kusoma vitu vilivyo na uzito mkubwa.
Lakini kama nilivyo comment kwenye mambo ya Ufisadi wa Mbowe kuwa JF imeacha kuwa chachu ya maendeleo na kuwa kioo cha kumulika watu wachache tu.Hili suala la Vimada si muhimu sana kama ile thread iliyokua ikishinikiza tupate ripoti ya kamati ya Madini.
Wana JF baada ya majanga yaliyotupata tumerudi na moto uliopitiliza na kuanza kuchangia yaso na maana.
Mimi sisimami upande wa mtu yoyote lakini ile JF niliyokua nikiiheshimu kama sehemu yangu ya kwanza kabisa ya kupata habari kabla ya magazeti ya wiki ijayo imekufa.Ile JF ambayo wakati tukiwa lunch na wenzangu ikifanywa majadiliano ya karibia kila siku imepitwa na kimbunga cha kukosa mada motomoto.

Zile CD(Music) sasa zimekua hazijadiliwi kwa kina.Uko wapi Mjadala wa ATCL? nani anayeongea cha maana zaidi ya MBOWE kafanya Hivi,nani kafanya vile.
Mmeishindwa JF??
 
Alianzisha ugomvi hapa wa kupondea JF akachemsha kwa hiyo usishangae akianza kutumia hiyo lugha ...lol. Naona balance aliyotaka ni hii ya kusema kuwa Mbowe ametembea na mke wa Mkapa na anamfukuzia mke wa Mbowe! ukishangaa ya ROstam basi jiandae kuona ya Makamba!

Sioni ni kwanini huyu mtu ajibiwe hata kama anachokoza au ni ccm hard core siyekuwa kwenye kundi la kula, tutumie busara ya kutojibizana nae

...I dont read even his comments... that's all....
 
ya leo kali kutoka kwako Babu MKJJ...............jamani hebu rusheni mawe gizani bwana litakae mpata ni bahati yake tumjadili hata mmoja tu basi tuache longolongo jamani tuokoe wadogo zetu na ukimwi
 
Back
Top Bottom