Hivi kwenye post ya kwanza nimetoa ahadi ya kufanya nini na nimeipa muda gani? Whatever I got to do it'll be at my own discretion and at a place, means and time of my own choosing.
Sidhani kama kuna mtu atapona asilimia 90 ya wanasiasa nchini Tanzania wana vimada si upinzani si ccm!yakianza kutajwa majina na vimada wao humu ndani hapatakalika!!!Mzee mwanakjiji wastiri wazee wetu!!!
Hii ni kweli Mzee kwani katika mitihani yote, huu wa nyumba ndogo/vimada ni wachache wanaoweza kupona kwani hata walokole kama kina Pombe Magufuli nasikia wamo. Eee.. nisitaje majina inabidi kuwahifadhi au nsubiri Mwanakijiji aweke hiyo orodha na atapoowasahau nimkumbushe.
HAYO NI TATIZO HUKO CHADUMA,CCM NI MAMBO YA KAWAIDA TOKA ENZI NA ENNI.UNAKUMBUKA WAKATI MZEE KAWAW ANAGOMBANA NA MSEKWA KWA AJILI YA ANNA ABDALA NA WOTE WAWILI WALIKUWA WAMEOAhapo kweli umesema, nadhani kuwa na ki/vimada hiyo ni sera ya wanaume walio wengi.
binafsi sioni haja ya kujadili vimada wa viongozi hapa unless kama hao vimada nao kwa kiasi fulani wanahusika na ufisadi.
Nimetazama neno fisadi kwenye kamusi ya kiswahili sanifu :
fisadi:mtu mbaya;mtongozaji;mpotevu;MWASHERATI.
mwanakjj, wenzio tumekaa kama tumeajiriwa humu; kuna mtu alipewa jukumu la kuangalia kama mzee "fulani" anatajwa! Tafadhali taratibu kaka kuna watu na ndoa zao na mambo mengine yakijulikana zitakuwa hatarini.
Hivi unafikiri ni wewe tu unajua wakubwa wanakojipongeza pembeni? Sisi wengine kutwa kucha tunaishi nao na kusafiri nao, tunayoyaona si madogo lakini ndiyo hivyo tunawavumilia tu.
Mbona kuna Waziri ambaye miaka michache iliyopita alikuwa anaopoa mtoto wa Kifungilo akijifanya ni mzazi wake? Tena binti mwenyewe sasa ana mtoto na ameshindwa hata kwenda Chuo lakini anapata kila aina ya huduma?
Sasa, tuyaache tu haya.
Asante.
binafsi nina vimada si chini ya vinne, mie pia kigogo ??
Hapana wewe ni FISADI, ndio maana unawatetea sana.(joke)
he he teh teh , jumlisha na vimada nilinavyo, Kigogo Fisadi !
Hivi kada wewe ndo Rosatmu Aziz au wewe ni FISADI GANI? maana wengi wanajulikana kwa majina.
Jeetu Patel ! lakini wengi hawajastukia !
*Halafu leo kunaboa humu*sniff sniff* !!
My god sasa inabidi nikukimbie maana nasikia yule anaweza kupita kwenye Mtandao