100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 10,227
- 36,576
Sasa vifaru vipo vingapi Dar nzima?Sio kulipua ile kupita tuu hofu ya wanachi
Ujue kitu ambacho hamuelewi watu hivi sasa hawaogopi tena hivyo vitisho..
Sasa vifaru vipo vingapi Dar nzima?Sio kulipua ile kupita tuu hofu ya wanachi
KIfaru ni silaha nzito, uitumue kwa waandamani wale wako mikono mitupu ?Jinsi vilivyopangwa huenda viko tayari kwa lolote chochote
ewe mtanzania siku ya kura kapige kura rudi nyumbani kwa amani msije sema sijawaambia
Inawezekana watu wakabaki nyumbani kwa kuogopa vifaruJinsi vilivyopangwa huenda viko tayari kwa lolote chochote
ewe mtanzania siku ya kura kapige kura rudi nyumbani kwa amani msije sema sijawaambia
kwanini ulikula mafi ya mama yako wakati wa kujifunguachadema si wanajidai wamevunja ungo bana wacha tuone