Vile vifaru pale Lugalo jeshini vinatisha

Vile vifaru pale Lugalo jeshini vinatisha

Karibuni sana
Mimi nikitoa muongozo wa maandamano hakuna wa kuzuia ...sema nataka watz wajifunze kwa upumbavu wao wa kukubali kutumiwa na wahuni kina Rostam Aziz dhidi ya jpm wakiwatetea mafisadi kuwa JPM anapora mali za matajiri na madini ....😁 ila kuhusu huyu mpumbavu samia bushiri sina shaka naye ni lazima mwisho wake uwe mbaya tu na wakutisha sana 100%
 
Jinsi vilivyopangwa huenda viko tayari kwa lolote chochote
ewe mtanzania siku ya kura kapige kura rudi nyumbani kwa amani msije sema sijawaambia
Hayo maandishi yako ya kichoko ndiyo vifaru?
Weka picha acha ujuha.
 
Jinsi vilivyopangwa huenda viko tayari kwa lolote chochote
ewe mtanzania siku ya kura kapige kura rudi nyumbani kwa amani msije sema sijawaambia
Kura yako haitaleta utofauti upige usipige yote sawa. Mazingira yote yamesetiwa kumrudisha sa10x10.
 
Hao watu wanaotishiwa hizo tank wenyewe wananini? 🤣🤣🤣🤣
 
Jinsi vilivyopangwa huenda viko tayari kwa lolote chochote
ewe mtanzania siku ya kura kapige kura rudi nyumbani kwa amani msije sema sijawaambia
Alaahh!! Picha ya hivyo vifaru ikwapi sasa??
 
Unajua maandamano ya magari ? Kisha yanafuatiwa na maandamano ya watu ...kisha maandamano ya watu yanaingia kwenye kambi za jeshi na makazi ya familia zao na kuwapeleka mstari wa mbele ...kisha maandamano yanakuwa zigizaga mtaa kwa mtaa chochoro kwa chochoro ....kisha maandamano yanafanyika kama wapiga kura kwenye vituo vyote vya kupigia kura huone kama uchaguzi utafanyika
Wewe ni mwehu...
 
Hebu toa huo muongozo
Mimi nikitoa muongozo wa maandamano hakuna wa kuzuia ...sema nataka watz wajifunze kwa upumbavu wao wa kukubali kutumiwa na wahuni kina Rostam Aziz dhidi ya jpm wakiwatetea mafisadi kuwa JPM anapora mali za matajiri na madini .... ila kuhusu huyu mpumbavu samia bushiri sina shaka naye ni lazima mwisho wake uwe mbaya tu na wakutisha sana 100%
 
Jeshi ni la Wananchi na wamekwisha toa tamko. Msijinasibishe nalo. Kazi yao iko Wazi KIKATIBA.
 
Tamko la kupiga mkwara wananchi wanaopaza sauti kupinga usenge unaoendelea, ila kufukuza hao wezi watapanya hela yetu wameshindwa ? Hakuna jeshi hapo ni upuuzi mtupu.
 
Mtu kaona vifaru Moja Kwa Moja akili yake imewaza ni Kwa ajili ya wanao andamana... Kwa Nini hujawaza vinaandaliwa kuwatoa wenye uchu na madaraka endepo watagoma?

Ila sishangai Kwa Nini mpo humu makonda aliwaambia mje mitandaoni kumtetea mama yenu Kwa posho za bando mnasaliti utu wenu..

Mnatakiwa mkumbuke nguvu ya uma ni asili na siku zote asili haijawahi kushindwa.
 
Tupo humu akina nani
Tamko la kupiga mkwara wananchi wanaopaza sauti kupinga usenge unaoendelea, ila kufukuza hao wezi watapanya hela yetu wameshindwa ? Hakuna jeshi hapo ni upuuzi mtupu.
Il likifanya kazi unafyata
sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom