Voting was extended for another day after a lack of ballot papers disrupted voting,[18][19] with some voters being forced to queue overnight to cast their ballots.[20] There were reportedly delays of up to 10 hours in opposition stronghold areas.[21] The Zimbabwe Electoral Commission acknowledged the late distribution of ballot papers at some polling stations and blamed it on printing delays "arising from numerous court challenges".[22] Forty-one poll monitors were arrested during the election, being accused of illegally attempting to announce results before the state elections body.[23] Accusations of vote rigging were made by the opposition.
Hii ndio hali ilivyo sasa hivi Zimbabwe.
Nadhani hauelewi maana ya "independence". Independence sio tu kumtangaza mpinzani kuwa mshindi bali namna uchaguzi mzima ulivyoendesha. Hata Tanzania kuna wakati wapinzani walitangazwa kuwa washindi. Na hiyo ndio argument ya watetezi wa hali ilivyo Tanzania. Kuwa mbona wakina Lissu, Mbowe, Lema, Sugu, Ruge n.k. wote waliwahi kuwashinda wagombea wa chama tawala na kutangazwa washindi. Wengi tunasema kuwa kutangazwa baadhi kushinda sio uthibitisho wa uhuru wa tume ya uchaguzi.
Mara nyingi kinachotokea katika hizo nchi ulizodai kuwa zina Tume Huru za Uchaguzi ni kuwa wananchi wanalazimisha matokeo sahihi kutangazwa kutokana na wingi wao na kuonyesha kuwa hawatakubali usanii wa aina yeyote kufanyika. Imekuwa hivyo Hungary, ilikuwa hivyo Zambia, ilikuwa hivyo Malawi.
Amandla...