strugo
JF-Expert Member
- Apr 22, 2017
- 1,235
- 1,839
841kj mafinga ..bravo coy OC ruteni muhuva noma sana jamaa alikuwa na Roho ngumu nilidoji kumbe ilikuwa ndo siku ya posho ckupata kwenye 50 inakatwa unabaki na 31 jamaa akaacha ujumbe hio 31 kama naitaka ninywe maji mengi moyo uelee ndo niifate nikaipotezeaaa
