lidoda
JF-Expert Member
- Apr 27, 2008
- 641
- 576
Du umenikumbusha mbali mkuu. Namkumbuka afande Mwiba. Huyu kama sikosei alikuwa ni Mhaya. Alikuwa ana mikwara flani lakini alikuwa safi sana. Katika B Coy hiyo kulikuwa na staf sajenti Warangi wa wili. Mmoja alikuwa anapenda sana sifa lakini ukimsifia tu mambo yanakuwa shwari. Mimi nilikuwa mwaka1987-1988,... Ninahamu ya kwenda tena hukoB Coy! Platoon one section one. Kibooko Enzi hizo platoon commander S/Sergeant Mwiba.