Mkuu, embakasi unapakumbuka?842KJ Mlale JKT, sitopasahau hapa, wangoni walitukoma miaka hyo.
Masangu, Mlandizi, Lusonga, Ruvu kituo cha umeme kule, mlima Zuhura, Magagura..... wacha kabisa, mbura, miwa, masuku, mihogo.... tulitesa sana.
Baadae nikahamia 843KJ Nachingwea JKT. Huko nako, acha tu siwezi sahau yale maisha.

