Mm nilikuwa 833kj oljoro jkt kipindi icho tunaenda kitundu,mti wa shetani,shamba dunia duka la mbao embakasi hatari tupu uko.Kuna kijiji flan ivi uko kuna wamang'ati awo wana vaa semi nacked hatari uko nilipiga pale jkt na tpdf the same palepale na nikapangiwa kikosi kilekile.........nakumbuka kuna cku nilikuwa ulinzi main gate kuna kamanda mmoja iv officer luten alikuja na gari yake usiku nikamwambia zima taa zako akawa anaweweseka nikamwambia aisee ww kamanda wangu ndio ila niko ulinzi nw zima taa kamanda akawa anazingua ataki eti kisa yy anacheo kikubwa mm private yy luten nilienda nikamtoa kwnye ndinga nilimlolisha mpaka akakoma mwnyewe kesho yake nikapelekwa mahabusu nilipigwa extra drill iyo hatari bada ya wiki moja nikala uhamisho Chita nikapelekwa Mlimba uko Morogoro mana nilikuwa askari mkorofi sana hahahaha but nw nimekuwa mtumzima ule ulikuwa utoto....
Sent from my SM-J200H using
JamiiForums mobile app