Vikosi na makambi JKT

Vikosi na makambi JKT

uziufungwe,ukishataja ndio imekuwA nini hasa.
 
823kj..kwa afande sir meja nusu mungu yesu na maria..uyu mzee sijui kashastaafu.sjui yupo kambi gani skuiz.
 
823 KJ
Afande Kajoro. Materu.
Maziku. Rajabu.
Mandevu. Wela.
Vlcpl frida. Matron hawa watu wapo ??
 
Nilikaa ktk jumla ya vikosi vinne wakati huo ni kuruta bdae service man,Ruvu,Nachingwea,MMJKT na Mgulani. Kikosi shoka kilikuwa Nachingwea sijui kama matatizo ya ukosefu wa maji safi na umeme yaliisha kwisha! Hata wakufunzi walikuwa wamekata tamaa sana!
 
Looh mie zamani mno op VITENDO 1971 Oljoro JKT.tulikuwa tunaita kirefu cha J.jiunge K.katika T.taabu. ikafuata operesheni MWONGOZO.

Sent from my HUAWEI CUN-U29 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom