Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Ati anafikiri wewe hujui
Ana utani wa ngumi huyo....lol
Ati anafikiri wewe hujui
Ana utani wa ngumi huyo....lol
Yupi ni asprin na yupi dark city?maana nina hamu niwajue......lol
NJOO KWETU PALE TUPO PUB NITAKUONESHA BABU Asprin ALIVYO UNA HAMU YA KUMUONA SURA AU MWILI?
mweeeeeehhh................Nitalitoa wapi kibogoyo mie?
Hivi una dentist yeyote unayemfahamu aniazime walau meno ya plastic?
Hivi kwani sura si sehemu ya mwili?
mweeeeeehhh................
asa ndo ukome manake ayo ya plastic hayana makali ujue.
jino kali lile la kuzaliwa nalo haya mengine yote mapambo tu ata liwe la dhahabu.
ukiona umetupwa mkono kubali yaishe.
mie siku hizi najisemeaga "bora yesheeee"
wakati ukuta babu, huwez kushindana nao.Nimekubali yaishe mdogo wangu.....
Matumaini yangu ya msaada naona yametupiliwa mbali...
What else can I do?
Avatar yako tuu mama....!!!!
Dada za siku tumsifu Yesu kristu!mwali mie niko pemben ndo kwanza niametafuta kikombe cha cappuccino nasubiria mtenenge