Vikongwe wa JF: bonanza day

Vikongwe wa JF: bonanza day

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,456
Reaction score
872,092
1409084423799.jpg
 
Haaahh haaa....,Mpira na kanzu wapi na wapi!!
Hapo hata jamaa akifika golini shuti hawezi piga
 
wenye mpira ni Dark City na Asprin
aya sasa

Utayaweza wewe binti?

Wazee wengine hawachokozeki...lol!

cc: Babu Asprin!

ngoja nitafute ghahawa hapa na popcorn za asali lol!

Kwani lazima mimi mwenyewe? Naweza kutafuta majeshi ya kukodi....

Utayaweza?
utamu unazidi
hahaha ya kukodi??? kumbe bora asprin zimwi linijualo lol

aya sasa Dark City unalo la nyongeza?
 
Last edited by a moderator:
mwali mie niko pemben ndo kwanza niametafuta kikombe cha cappuccino nasubiria mtenenge

hhahaha mashabiki mlikuwa banned na vile umeingia ukumbini kiwiziwizi utapendelea kwa akina babu na log off in washawasha's voice
 
Back
Top Bottom