Vikongwe wa JF: bonanza day

Vikongwe wa JF: bonanza day

Umeanza lini kuwa mgumu wa kuelewa somo watu8?

Siamini kama unaweza kuniangusha.....May be ndiyo mbinu zenu za kichokozi za dotcom!

Enzi zetu hata mtu kundondosha kitu mbele yako akainama kukiokota huku kichwa kimeelekezwa kibra ilitosha kuanzisha ligi!!

Babu mi najua kuna kichwa, limbs (sijui jinale kwa kiswahili) na kiwiliwili na kwa pamoja hufanya mwili...
 
Mhhhhh!!!kwa hiyo unahisi nadanganya au naelezea tofauti?

Waeleza ukweli wala sina shaka...

Sasa kwa kuwa mtoto wa kike umeamua kueleza ukweli ndio nataka niione ila aibu ya kike...curious me lol!!
 
Waeleza ukweli wala sina shaka...

Sasa kwa kuwa mtoto wa kike umeamua kueleza ukweli ndio nataka niione ila aibu ya kike...curious me lol!!

Hahahahaha katika vitu ambavyo nilinyimwa ni aibu yani nikikueleza ni kama vile askari magereza anamuingiza mfungwa rumande.......lol
 
Hao ndio Real MAdrid waliokuja juzi kati eenh!
 
Back
Top Bottom