Honey Faith
JF-Expert Member
- Aug 21, 2013
- 15,782
- 11,841
Mbona cheko refu tena bi mkubwa...
Mtoto wa kike sharti uwe na cheko kisa cha kununa ni nini maisha yenyewe mafupi.....lol
Mbona cheko refu tena bi mkubwa...
Duuu sentence ya mwisho ni tata ladyfurahia
mkuu happiness win naona kama real madrid na tanzania eleven vile. We uko wapi hapo?
Niko bench nasubiri uchoke niingie.... ha ha haaa Real Madrid na Tz isiyo na mlo wala mazoezi