Uchaguzi 2020 Vijijini mwamko ni mkubwa mno katika mikutano ya Tundu Lissu

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,022
144,380
Kampeni au tuseme mikutano ya Lissu inathibitisha hilo na mimi binafsi nimeliona hilo na hata leo Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika ameongelea swala hili katika hii tweet yake hapa chini:

Vijijini mwamko ni mkubwa mno....mijini ndiyo kabisa.

Tunashukuru sana kila mtanzania anayejitokeza kuja kusikiliza wagombea wetu kuanzia Urais, Ubunge na Udiwani.

Huu ni ujumbe siasa ni maisha...ujumbe tunahitaji kuwa na fursa ya kuzungumza na wananchi.

*Kata ya Ruhembe

 
Leo nimetulia sehemu wakapita wanafunzi wawili.

Wawili wakasema wanampennda magufuri mmoja anampenda lissu mmoja alikaa kimyaa.
 
Huyu aliyekaa kimya anawakilisha walio wengi kwenye jamii na ndio wana hatima ya uchaguzi wa 28 oktoba.
 
Lowasa alikua anajaza zaidi ya Lisu, shida ni kwamba wengi wanaokwenda kwenye mikutano hiyo ni vijana halafu hawajajiandikisha kupiga kura, bwana mkubwa badala ya kutanga tanga huko duniani angerudi kuhamasisha vijana wajiandikishe kupiga kula, huu ndio ukweli ukubali au ukatae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…