Vijembe na maaskofu halafu ushinde vita sahau!

Sina hakika lakina dhamira yangu inanituma niseme haya; unaweza ukawa ni "jiwe", pamoja na nguvu zote za kimamlaka lakini kuna wakati busara lazima kiongozi ikuongoze.

Nchi yetu haina dini, lakini watu wake wana dini zao na ndo maana wanapoapishwa wanashika vitabu vya dini kubwa mbili nchini....kutumia nafasi tulizonazo kuanza kuwapiga vijembe viongozi wetu wa kiroho haijakaa sawa na haiwezi kukuacha salama. Waraka wao haukumtaja mtu wala siamini kama ulilenga kumkomoa mtu bali ni sauti ya kiroho inayotaka kuponya taifa.

Unawatu hao watu ni waumini wao...yaani akisema mwanasiasa jambo fulani na kiongozi wa kiroho akasema jambo hilo kwa kinyume chake basi muumini atafuata ya kiongozi wa kiroho... tusicheze na IMANI za watu tunaweza jibu hoja zao bila kuleta mvutano na mfarakano na tukaeleweka.....kubishana na viongozi wetu wa kiroho ni kumkosea mungu!

Kwahiyo maaskofu wanapenda vita? Mimi nilifikiri maaskofu ndo wazuri ktk kusamehe na kukuombea ili utulize vita. sisi maandiko ndo yanatufundisha hivyo, lakini kama kazi ya maaskofu ni kufanya vita ili ufeli basi hao maaskofu ni noma. Ngoja ninukuu vifungu.

1 Yohana 4
1 Wapenzi wangu, msimsadiki kila mtu asemaye kwamba ana Roho wa Mungu, bali chunguzeni kwa makini kama huyo mtu anaongozwa na Roho wa Mungu au la, Maana manabii wengi wa uongo wamezuka ulimwenguni.

2 Peter 2:1-22
But false prophets also arose among the people, just as there will be false teachers among you, who will secretly bring in destructive heresies, even denying the Master who bought them, bringing upon themselves swift destruction. And many will follow their sensuality, and because of them the way of truth will be blasphemed. And in their greed they will exploit you with false words. Their condemnation from long ago is not idle, and their destruction is not asleep. For if God did not spare angels when they sinned, but cast them into hell and committed them to chains of gloomy darkness to be kept until the judgment; if he did not spare the ancient world, but preserved Noah, a herald of righteousness, with seven others, when he brought a flood upon the world of the ungodly; ...

Kwa maana yakwamba maaskofu wapenda vita na malumbano na kondoo wao, yatatufanya wenda waaumini waanze kuangalia hivyo hivyo vifungu kwa makini zaidi.
 
Nati kadhaa zimefyatuka..... ndio maana dishi linaenda na uelekeo wa upepo. Anyway mara fulani Mungu hujibu maombi ya watu kama funzo kwa wanaomcha.

Tuliomba Rais mkali na dikteta.!
 
Sina hakika lakina dhamira yangu inanituma niseme haya; unaweza ukawa ni "jiwe", pamoja na nguvu zote za kimamlaka lakini kuna wakati busara lazima kiongozi ikuongoze.

Nchi yetu haina dini, lakini watu wake wana dini zao na ndo maana wanapoapishwa wanashika vitabu vya dini kubwa mbili nchini....kutumia nafasi tulizonazo kuanza kuwapiga vijembe viongozi wetu wa kiroho haijakaa sawa na haiwezi kukuacha salama. Waraka wao haukumtaja mtu wala siamini kama ulilenga kumkomoa mtu bali ni sauti ya kiroho inayotaka kuponya taifa.

Unawatu hao watu ni waumini wao...yaani akisema mwanasiasa jambo fulani na kiongozi wa kiroho akasema jambo hilo kwa kinyume chake basi muumini atafuata ya kiongozi wa kiroho... tusicheze na IMANI za watu tunaweza jibu hoja zao bila kuleta mvutano na mfarakano na tukaeleweka.....kubishana na viongozi wetu wa kiroho ni kumkosea mungu!
Yaani mimi nimeshangaa halafu kesho ataomba viongozi wa kiroho waliombee taifa wakati leo unawapiga vijembe huku ni kujichanganya
 
hawa maaskofu ambao wengi ni mafisadi bora niwe mpagani tu,nakumbuka jinsi gani viongozi wa dini walivyochochea mauaji ya kimbari Rwanda.Binadamu ni binadamu tu
nyie ndo hamna historia sawa.rwanda kuna wahutu na watutsi someni vizuri yalitokana na nini.vingenevyo mnalipotosha hili jiwe lenu.kwanza halina exposure internationally halafu too low reasoning vinginevyo alitakiwa akae kimya tu badala ya kukariri kuwa sadaka zimekauka.hawa maaskofu wame analse vitu vingi kwa ajili ya nchi.kwa kua jiwe halijapenda kushauriwa au kukoselewa linaamua ku hit back bila reasoning.kwa uhakika Mungu hadhihakiwi jiwe linatakiwa liombe msamaha kwa maaskofu nachelea kusema au natabiri anguko kuu la jiwe.ni sawa na mtoto anayelaniwa na wazazi wakati anajivunia kazi yake au utajiri wake tumeishaona wengi wanaishia kubaya time will tell!!!!
 
Sina hakika lakina dhamira yangu inanituma niseme haya; unaweza ukawa ni "jiwe", pamoja na nguvu zote za kimamlaka lakini kuna wakati busara lazima kiongozi ikuongoze.

Nchi yetu haina dini, lakini watu wake wana dini zao na ndo maana wanapoapishwa wanashika vitabu vya dini kubwa mbili nchini....kutumia nafasi tulizonazo kuanza kuwapiga vijembe viongozi wetu wa kiroho haijakaa sawa na haiwezi kukuacha salama. Waraka wao haukumtaja mtu wala siamini kama ulilenga kumkomoa mtu bali ni sauti ya kiroho inayotaka kuponya taifa.

Unawatu hao watu ni waumini wao...yaani akisema mwanasiasa jambo fulani na kiongozi wa kiroho akasema jambo hilo kwa kinyume chake basi muumini atafuata ya kiongozi wa kiroho... tusicheze na IMANI za watu tunaweza jibu hoja zao bila kuleta mvutano na mfarakano na tukaeleweka.....kubishana na viongozi wetu wa kiroho ni kumkosea mungu!
Nawashangaeni nyie mnaotapatapa,

Lowassa aliwatumia na urais akaukosa,pamoja na kuwarundikia pesa nyingi sana.
Mkuu, kuhusu Magufuli, hicho kikundi cha maaskofu wachache walioamua kutumia kinga ya dini kufanya siasa watashindwa vibaya sana,na watabaki na aibu kubwa huku wakiomba poo !

Kwanza fahamu, maaskofu wamegawanyika,hawana umoja mpaka sasa,wapo wanaomkubali Magufuli mia mia,na wengine ni kikundi chako kinachompinga kwa kutetea maslahi yao,ukiona huo mgawanyiko fahamu wamefeli,na kwa taarifa yako mziki wameukubali,sema nyinyi ndo mnaukuza kuwapaisha
 
Pascal!
Kuna kitu umekiongea mwishoni mwishoni kwy hiyo post yako uloweka link...ilikua ni januari mapema kabisa na kikaja kutokea.
Mkuu Said Ally, amini usiamini, kauli huumba!, kuna kauli unaweza kuisema kama utani tuu, na hilo jambo likatokea. Unaweza kukuta wala sio yeye, lakini kwa vile alitamka, ile kauli yake ndio iliyoumba kilichotokea!.

Kuna vitu vikisemwa vinakuja kutokea, nimewahi kuandika hivi, angalia tarehe ya bandiko na kilichokuja kutokea!.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John Pombe Magufuli
Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Dr. Shein Mfute Kazi Haraka, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Kabla Hajamwaga Sumu Hii

P.
 
Ni kweli kauli uumba lakini pia inatakiwa jicho la ziada pia kugundua kama ni "kauli uumba" kweli au ni "kauli ya kuumba" pia??!! Maana hata hilo la pili limetumika sana tu.

Mie nabakia kwy uzi wako wa mwanzo. Hizi zingine naomba nisizishiriki (naamini utanielewa).
 
Sina hakika lakina dhamira yangu inanituma niseme haya; unaweza ukawa ni "jiwe", pamoja na nguvu zote za kimamlaka lakini kuna wakati busara lazima kiongozi ikuongoze.

Nchi yetu haina dini, lakini watu wake wana dini zao na ndo maana wanapoapishwa wanashika vitabu vya dini kubwa mbili nchini....kutumia nafasi tulizonazo kuanza kuwapiga vijembe viongozi wetu wa kiroho haijakaa sawa na haiwezi kukuacha salama. Waraka wao haukumtaja mtu wala siamini kama ulilenga kumkomoa mtu bali ni sauti ya kiroho inayotaka kuponya taifa.

Unawatu hao watu ni waumini wao...yaani akisema mwanasiasa jambo fulani na kiongozi wa kiroho akasema jambo hilo kwa kinyume chake basi muumini atafuata ya kiongozi wa kiroho... tusicheze na IMANI za watu tunaweza jibu hoja zao bila kuleta mvutano na mfarakano na tukaeleweka.....kubishana na viongozi wetu wa kiroho ni kumkosea mungu!
Hamna kitu hapo. Tusiwavike maaskofu sifa za kimungu. Hawana ushawishi kwa kiwango hicho unachotaka kuwapa.
Wao wenyewe wapiga dili tu. Inaonekana kuna sehemu wametaitiwa tu ila hawataki kusema waziwazi. Mianya yote ya kukwepa kodi kwa mgongo wa kanisa imezibwa.
Hvo lazima wapige hzo kelele
 
Sina hakika lakina dhamira yangu inanituma niseme haya; unaweza ukawa ni "jiwe", pamoja na nguvu zote za kimamlaka lakini kuna wakati busara lazima kiongozi ikuongoze.

Nchi yetu haina dini, lakini watu wake wana dini zao na ndo maana wanapoapishwa wanashika vitabu vya dini kubwa mbili nchini....kutumia nafasi tulizonazo kuanza kuwapiga vijembe viongozi wetu wa kiroho haijakaa sawa na haiwezi kukuacha salama. Waraka wao haukumtaja mtu wala siamini kama ulilenga kumkomoa mtu bali ni sauti ya kiroho inayotaka kuponya taifa.

Unawatu hao watu ni waumini wao...yaani akisema mwanasiasa jambo fulani na kiongozi wa kiroho akasema jambo hilo kwa kinyume chake basi muumini atafuata ya kiongozi wa kiroho... tusicheze na IMANI za watu tunaweza jibu hoja zao bila kuleta mvutano na mfarakano na tukaeleweka.....kubishana na viongozi wetu wa kiroho ni kumkosea mungu!
Acha ujinga wewe, maaskofu wako tumbo tu hao, ni waongo na wanafiki na wazandiki. Tena wanastahili kufungwa maana huu si muda wa kusikiliza wasaliti wa maendeleo ya kweli
 
Jamaa sijui kawaje! Ni kheri angekaa kimya. Kimya pia ni busara
Jana Gentamycin alitoa ushauri ashauriwe mapema asome hotuba atakayoandikiwa ili asiropoke, lakini wapi!! Kaanza tu huyo! Kaibuka na njaa za Maaskofu kukosa sadaka. Yaani Muumini uliyebatizwa na unakomunika unapokwenda kanisani unadiriki kumwambia askofu wako analilia sadaka? Mungu usikubali watu kwa madaraka yao waendelee kukashfu watumishi wako, TENDA SASA!
 
hawa maaskofu ambao wengi ni mafisadi bora niwe mpagani tu,nakumbuka jinsi gani viongozi wa dini walivyochochea mauaji ya kimbari Rwanda.Binadamu ni binadamu tu
Yeye ana utakatifu gani si bora Maaskofu wamesema machache? Wangetaka kumwaga kila kitu pangekalika? Huyu aliyekabidhi kimada nyumba ya serikali na juzi kazaa na mke wa mtu ndo wa kumsifia udhu?
 
Back
Top Bottom