Vijana wenzangu tusiogope kuoa, ndoa tamu

Mtu Kwao

JF-Expert Member
Sep 2, 2019
394
713
Wakuu Ndoa ni tamu, ndiyo ndoa ni tamu kwani kuna mtu anabisha kwenye hilo

Emu fikiria unaamshwa asubuhi upate cha asubuhi baada ya hapo unasindikizwa bafuni kuoga. Muda huo nguo zinapigwa pasi ukimaliza mke anakusaidia kujiandaa ukimaliza unakunywa chai yako safi. Dah baada ya hapo anakuaga kwa maneno matam na yenye kukutia moyo unapoenda kutafuta riziki.

Kila baada ya masaa 2 lazima ahakikishe hali yako huko, ukirudi unapokelewa vizuri na maneno ya pole na ahsante. Jaman hayo ni baadhi ya mazuri ya ndoa nawashangaa mnaogopa kuoa. Mwanamke anakupa ushauri mzuri na ukiufuata lazima tu ufanikiwe. Mke ndo anakuwa wa kwanza kuufariji pale unapokuwa na stress hakika tabasamu lake tu ni tiba ya mambo mengi kwangu.

Vijana wenzangu tusiogope kuoa tafuta yule unaempenda na yeye anakupenda hakika siku zote hutajutia kuoa.

Namalizia ndoa tamu, mke ni faraja ni chanzo cha mafanikio yako.

Usiogope kuoa
 
Wakuu Ndoa ni tamu ndiyo ndoa ni tamu kwan kuna mtu anabisha kwenye hilo

Emu fikiria unaamshwa asubuhi upate cha asubuhi baada ya hapo unasindikizwa bafuni kuoga
Muda huo nguo zinapigwa pasi ukimaliza mke anakusaidia kujiandaa ukimaliza unakunywa chai yako safi
Upo sahihi hasa kama mmetoka kuoana mke anataka kujitutumua uone kuwa hukukosea hata kidogo ktk uchaguzi wako. I assure u overtime hayo mavitu yanapotea kabisa. Utajinyoshea nguo mwenyewe nk. Starting point ya changes itakuwa mkijaaliwa kupeana ujauzito, Hapo atakionesha reality na hatarudi nyuma akijifungua ndo kwisha habari yako
 
Back
Top Bottom