Vijana wembamba nini siri ya mafanikio

Vijana wembamba nini siri ya mafanikio

Logoc ni 1 tu,mtu mnene hata sku1 hapend unene wake,ndo aje mpenda mnene mwenzie same to wembamba,and vice versa

Ipo pia kwa watu weupe,..mfano mim sipend wanawake weupe,sio sipend ila ni kwamba nasisimuka sana kimapenz napomwona mdada maji ya kunde au mweus
 
asikwambie mtu kitu babu, watu wembamba tuna mzigo mzitooo wa kuchana uzazi kabisa sababu unene wetu umejaa chini na sio kwenye misuli. so wanavutiwa na mzigo na si kingine.
Ndiyo hivyo brother,
Thus why siri yetu wanaijua wahusika wenyewe.
 
Katika tafiti yangu ya kizushi nimeona vijana wengi wembamba wanakamatia wadada wenye shape za Kibantu kwelikweli. Vipi nini siri ya mafanikio vijana?.

Kina Dada wenye shape za hatari vipi mnawapendea nini vijana wembamba?
Nawapenda tena wakianza mambo yao hadi raha sana ni wajuzi
 
Attachments

  • images (1).jpeg
    images (1).jpeg
    17.3 KB · Views: 21
asikwambie mtu kitu babu, watu wembamba tuna mzigo mzitooo wa kuchana uzazi kabisa sababu unene wetu umejaa chini na sio kwenye misuli. so wanavutiwa na mzigo na si kingine.
haya maneno ni ya mwanaume mwembamba au mwanamke mwembamba?
 
Wanajua wachokipata wewe tulia mkuu
Katika tafiti yangu ya kizushi nimeona vijana wengi wembamba wanakamatia wadada wenye shape za Kibantu kwelikweli. Vipi nini siri ya mafanikio vijana?.

Kina Dada wenye shape za hatari vipi mnawapendea nini vijana wembamba?
 
Umenena
Hatimaye tulio wembamba tumekumbukwa na mtoa mada.

Ni kwamba sisi wanaume wembamba kiasi huwa tuna- penetrate kwa urahisi kwa watoto wenye shapes za aina yeyote.
Kiufupi, hata aweje lazima achezee fito.
 
Back
Top Bottom