Vijana wembamba nini siri ya mafanikio

Vijana wembamba nini siri ya mafanikio

jf nzima leo ni wembamba,.. na sisi wanene wenye 6 pack, na tuna mikuyenge mikubwa na hela mnatuweka wapi???
 
Siku zote mjusi sehemu yake ya starehe ni kwenye gogo na kuta tu, ukimkuta kwenye nondo basi anapita. Sisi wembamba huwa tunainjoy sana kwa vibonge maana unaweza ukasahau mapaka madeni ya TALA na BRANCH.
[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Katika tafiti yangu ya kizushi nimeona vijana wengi wembamba wanakamatia wadada wenye shape za Kibantu kwelikweli. Vipi nini siri ya mafanikio vijana?.

Kina Dada wenye shape za hatari vipi mnawapendea nini vijana wembamba?
Huwa ndo inanoga couple ya aina hyo sio bonge+bonge ...au skin+skin....inatakiwa bonge+skin .. Hata kwenye mambo yetu Yale fresh
 
Back
Top Bottom