Sikonge
JF-Expert Member
- Jan 19, 2008
- 11,550
- 6,062
Mwikimbi,
Asante kwa maelezo mazuri. Tatizo ni kuwa, wengine hatuamni sana hii miamko ya Wananchi. Tunaogopa sana NGUVU YA SODA. Tunaogopa sana kujiaminisha sasa watu wameamka kumbe wapi. Inanikumbusha kisa kimoja huko Korea. Wakorea waliwachoka USA na wakaanza fujo kwa kila kitu cha USA. Hali ilikuwa mpaya sana hasa ukichukulia hawa jamaa ni washiriki wa karibu wa USA yaani Seul. CIA kuona hivyo, walimpeleka Michael Jackson na vibendera kibao vya USA. Vijana hao hao wakawa kwenye concert na bendera hiyohiyo ambayo jana walikuwa wakichoma. Sasa hawa vijana mie siwaamini sana. Naona ni kama nguvu ya soda tu. Pia sijui idadi yao iko kubwa kiasi gani.
Sasa kwa hili labda tu tuseme kuwa "time will tell". Kwangu mie SIPINGI ila siwaamini jamaa. Tutaona itakuwaje huko mbeleni.