Vijana waliooa wanakwaza sana

Ukiona hili Swali la Unao Lini Linakuumiza...!

Basi Ujue Muda Wako Wa Kuoa UMEFIKA ...Ila sasa lakini Umekaza Shingo unajiambia 'Mi Bado Mtoto'...! Mtu akikukumbushia tu Kile Unachotakiwa Kukifanya Unaumia saana...! Saikolojia ndogo hiyo ...!

Itafikia Mahala Ukiona Couple tu...Utakuwa Unachemka Kwa Hasira.

Ngoja nikukere kidogo ...Hivi We Baba Unaoa Lini ?
 
Mhhh

Sent from my Infinix PR652B using JamiiForums mobile app
 
Kwenye maisha kila mtu ana njia yake ya kupitia.
Si afya kupima Maendeleo based on single indicator "Kuoa"

Mambo ni mengi muda mchache.

Kuhusu kuoa Bado nipo nipo sanaaaa.

#YNWA
 
Ujinga ni kuamini huyu jamaa hajaoa au hana mke kumbe ana mke na watoto na wana enjoy ndoa ila hapa jukwaani anajifanya mwenyekiti wa wasioa.
Trust me SIJAOA.

Na sihitaji kuoa.

Unajua maisha yana mengi ya kufanya na muda ni mchache.

Huwezi fanyaa yotee ambayo after then ni mitazamo ya watu na Wala sio maamuzi yako.

#YNWA
 
Point
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Ndoa haina faida yoyote kwa mwanaume anaeamini ukweli halisi wa maisha
“ born alone, die alone “


Haya nyie mnaohangaika na ndoa na watoto miaka mia tano ijayo mtakua wapii?
Hakuna kuoa na hakuna kuzaa!

I’m my own company.
Nakazia hapa, [emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Kuulizwa tu sioni shida.. ishu ni pale mtu anaanza kukusimanga, mara ooh unakosa baraka za kwenye ndoa, ooh usichague sana, ooh magonjwa mengi.. hapo natamani hata nimtie vibao
Tena muwazabue makofi tyuuh. Khaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…